Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anawatangazia Wafanyabiashara wadogowadogo ambao hawajachukua vitambulisho vya Biashara waende ofisi za Kata kwenye maeneo yao ili kuchukua vitambulisho hivyo. Ofisi za Kata zitakua zinaratibu zoezi hilo kuanzia tarehe 28/01/2019 hivyo wafanyabiashara wote wadogowadogo fikeni katika ofisi hizo ili mpatiwe vitambulisho
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.