KAMATI YA UCHUMI, ELIMU NA AFYA
Majukumu ya jumla
Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii,elimu na huduma za maji.Kamati hii pia inashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi vijijini kujiletea maendeleo maendeleo ya kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri,kushawishi,kuzindua,kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha,kutekeleza,kusimamia na kutathimini mipango yao ya maendeleo.
Majukumu maalumu ya Kamati
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.