Sunday 22nd, April 2018
@ENEO LA ZAHANATI NA ENEO LA MRADI WA MAJI
MKUU WA MKOA WA MBEYA MH AMOS GABRIEL MAKALLA ANATARAJIA KUFANYA ZIARA KATIKA KATA YA MWASANGA JIJI LA MBEYA, DHUMUNI YA ZIARA HII NI KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI IKIWA NI PAMOJA NA MRADI WA MAJI NA UJENZI WA ZAHANATI KATIKA KATA HIYO.
Mbalizi Road near TTCL Offices
Postal Address: 149 Mbeya
Telephone: +25525252502372
Mobile: +255 25 2502563
Email: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2017 Mbeya City Council . All rights reserved.