• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utumishi na Utawala
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
      • Mipango na Uchumi
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Fedha na Biashara

Idara ya Fedha na Biashara

Idara hii inahusika na kukusanya mapato na kudhibiti matumizi kwa kutumia miongozo ya kitaifa na kimataifa.

NA

HUDUMA ZINAZOHUSIKA

VIWANGO VYA MUDA

            KITENGO CHA MAPATO:

Kupokea fedha kutoka kwa watendaji/wakusanya mapato.
Ndani ya dakika  5 kwa mwenye vitabu visivyozidi 3.

Kukatia stakabadhi fedha kutoka Hazina na sehemu nyinginezo
Ndani ya dakika 10 kwa “Bank Statement” zisizozidi 10.

Kupokea vitabu vilivyokwisha tumika mara baada ya kutumika na kuhakikiwa.
Ndani ya dakika  3 kwa kila kitabu

Kutoa vitabu vya kukusanyia mapato kwa wakusanya mapato
Ndani ya dakika  3 kwa kila kitabu

Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kufanya ufuatiliaji.
Ndani ya siku 3 kila wiki.
KITENGO CHA MATUMIZI:

Uandishi wa hati za malipo kutafanyika kwa maombi yaliyopitishwa na afisa mhasibu
Ndani ya dakika  3

Kutoa hundi kwa wateja na kuzitasajili katika rejista kabla ya kuchukuliwa.
Ndani ya dakika 3 kwa kila hundi

Kujibu hoja za Mkaguzi wa Ndani na wa Nje.  Mara baada ya hoja kuibuliwa.
Ndani 15

Kuhakiki Mihutasari ya malipo na hundi toka vijijini baada ya ukaguzi.
Ndani ya dakika 5
KITENGO CHA KUFUNGA HESABU:

Kuandaa “Recurrent Budget” na kuiwasilisha sehemu husika.
Ndani ya miezi 4 (Januari – April).

Kuandaa na kufunga hesabu za mwisho wa mwaka kwa idara zote za Halmashauri
Ndani ya miezi 3

Kuandaa taarifa za robo mwaka na kuzituma kwa RAS, TAMISEMI na kuwasilisha katika vikao vya kisheria.
Siku tano (5)

Kuandaa taarifa za fedha kwa ajili ya LAAC.
Kila baada ya miezi 3.

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 JIJI LA MBEYA December 18, 2020
  • JOINING INSTRUCTION YA SHULE ZA SEKONDARI KWA WANAFUNZI WATARAJIWA WA KIDATO CHA KWANZA December 16, 2020
  • SHERIA ZINAZOSUBIRI UIDHINISHAJI WA TAMISEMI July 21, 2020
  • TAARIFA YA MREJESHO CITY PARK April 03, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI JIJI LA MBEYA WAPITISHA MPANGO WA BAJETI 2021/2022

    February 19, 2021
  • WAKAZI WA MWANSEKWA MBIONI KUPIMIWA ARDHI YAO

    February 15, 2021
  • MADIWANI JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KUFANYA USAFI

    January 30, 2021
  • MADIWANI WARIDHIA KULIGAWA JIJI LA MBEYA

    January 29, 2021
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.