Idara hii inahusika na utoaji wa huduma za kisheria na ushauri kwa wateja na wadau mbalimbali wa halmashauri ya Jiji
NA |
HUDUMA ITOLEWAYO KWA MTEJA |
VIWANGO VYA MUDA |
|
Kumhudumia mteja anaeingia mkataba na Halmashauri au mgogoro na Halmashauri.
|
Ndani ya saa 3
|
|
Kusainisha Mikataba kwa Mawakala wanaokusanya ushuru wa Halmashauri.
|
Ndani ya saa 1
|
|
Kushughulikia Mikataba mbalimbali ya Halmashauri.
|
Ndani ya Saa 1
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.