Idara hii inashughulika na uandaaji, uhuishaji na uratibu wa mipango, bajeti, ufuatiliaji na usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
NA |
HUDUMA ZINAZOHUSIKA |
VIWANGO VYA MUDA |
|
Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya halimashuri ya Jiji kila robo ya mwaka.
|
Ndani ya wiki 1 baada ya robo mwaka kuisha
|
|
Kupitia barua za Madiwani na Watendaji wa Kata kuhusu malipo ya miradi ya maendeleo ndani ya Jiji.
|
Ndani ya dakika 5
|
|
Kuratibu mpango wa maendeleo na bajeti ya mwaka na kuiwasilisha kwa wadau mbalimbali wa Halmashauri.
|
Ndani ya miezi 5
|
|
Kuibua miradi kwa kushirikisha jamii (O & OD Review).
|
Ndani ya Miezi 1
|
|
Kuandaa mpango wa kazi na mtiririko wa matumizi ya fedha na kuiwasilisha mkoani.
|
Ndani ya Miezi 2
|
|
Kukagua miradi kwa kila robo ya mwaka na kamati ya Mipango, Uongozi na Fedha.
|
Ndani ya Siku 7
|
|
Kukagua miradi kwa ajili ya malipo ya Wakandarasi na kufuatilia matumizi ya fedha za Serikali kulingana na miongozi iliyopo.
|
Ndani ya Siku 6
|
|
Kuandaa “Socio-economic profile” na kuiwasilisha ngazi za juu.
|
Ndani ya Miezi 3
|
|
Kutoa huduma za dharula ICT.
|
Ndani ya dakika 15
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.