Idara hii inajihusisha na swala zima la kuliweka jiji na Mbeya na vitongoji vyake katika hali ya usafi na kuzingatia viwango bora vya utunzaji wa mazingira ndani ya Halmashauri
NA |
HUDUMA ZITOLEWAZO |
VIWANGO VYA MUDA
|
||
|
Kupitia na Kutathmini Mipango Kabambe ya Usafi wa mazingira ya Jiji
|
Ndani ya siku saba (7)
|
||
|
Kutoa elimu ya mabadiliko ya tabia nchi na namna bora ya kutunza mazingira
|
Kila robo mwaka
|
||
|
Kuweka karantini ya Ugonjwa wa milipuko
|
Siku moja (1) baada ya kupokea taarifa
|
||
|
Kutoa taarifa za Usafi na Mazingira
|
Kila baada ya miezi mitatu (3)
|
||
|
|
Kila baada ya miezi mitatu (3)
|
||
|
|
kila robo mwaka
|
||
|
|
|
|
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.