• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Kamati ya uchumi, Afya na Elimu

KAMATI YA UCHUMI, ELIMU NA AFYA

Majukumu ya jumla       

Kushughulikia mambo yote yanayohusu afya ya jamii,elimu na huduma za maji.Kamati hii pia inashughulikia mambo yanayohusiana na jitihada za wananchi  vijijini kujiletea maendeleo maendeleo ya kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushauri,kushawishi,kuzindua,kuelimisha na kushirikisha wananchi hao hasa katika kutayarisha,kutekeleza,kusimamia na kutathimini mipango yao ya maendeleo.

Majukumu maalumu ya Kamati

  • Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa ujenzi wa hospitali,vituo vya afya na dhahanati
  • Kuandaa mipango ya maendeleo ya upanuzi na ujenzi wa shule za awali na msingi na elimu ya watu wazima kwa mujibu wa sheria ya Elimu ya mwaka 1978 kama ilivyorekebishwa mwaka 1995
  • Kupendekeza mipango ya ujenzi au upanuzi wa vituo,viwanja,majendo na mazingira ya burudani,starehe,mapumziko na michezo
  • Kuamua juu yam abo yanayohusu uhifadhi wa mambo ya kale na mandhari mbalimbali yenye sura nzuri
  • Kuandaa na kuratibu njia bora juu ya uhifadhi wa nyaraka muhimu kqwaajili ya kumbukumbu hizo zitahifadhiwa kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa sura ya 288
  • Kupendekeza njia bora juu ya uhifadhi wa sanaa mbalimbali za ufundi na za maonesho kwa mujibu wa sheria za serikalimza mitaa sura 288
  • Kupendekeza matumizi mazuri ya lugha ya Taifa
  • Kupendekeza na kufanya tathimini juu ya uendelezaji wa mabonde,mito na mabwawa
  • Kupendekeza namna ya malezi kwa vijana ili waweze kuwa wazalishajim katika Taifa
  • Kusimamia uanzishaji wa vikundi vya jamii na vya hiari vya wananchi katika Halmashauri kwa mujibu wa sera na maendeleo ya jamii
  • Kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu,porina mbuga zilizotengwa kama hifadhi za mamlaka za serikali za mitaa
  • Kubuni na kupendekeza namna ya kudhibiti moto
  • Kubuni na kupendekeza namnana ya kutumia nishati mbadala,kuzuia ukataji miti ovyo, na kuhimiza upandaji wa miti kwa wingi
  • Kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara
  • Kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayanikwa ujumla
  • Kupendekeza sheria ndogo zinazohusu kamati hii

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.