Monday 15th, August 2022
@Maeneo yote ya Halmashauri
Siku ya usafi ni Jumamosi ya Tarehe 30/01/2021 ambapo wananchi wote mnatakiwa kushiriki zoezi hili kikamilifu kwenye maeneo yenu, zoezi hili linatarajiwa kuanza saa moja asubuhi hadi saa nne asubuhi katika muda huo hakuna shughuli yoyote itakayoruhusiwa kufanyika hadi zoezi la usafi litakapokamilika
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.