• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

DC MALISA AHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA MPIGA KURA.

Imewekwa Tarehe: May 29th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Beno Malisa amewataka wananchi mkoani hapa  kujitokeza kwa wingi kujiandisha kwenye  maboresho ya dafrari la kudumu la wapiga kura  msimu utakapofika.

Mhe. Malisa ametoa hamasa hiyo Mei 28,2024 kwa nyakati tofauti alipofanya  ziara ya kusikiliza kero  za wananchi katika kata  za  Tembela, Mwasanga na Kalobe  Jijini hapa.

Amesema tunaelekea kipindi  cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 na uchaguzi mdogo wa Serikali za mitaa, hivyo wananchi wanapaswa kuhamasika  kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika  maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

"Nitumie fursa hii kuwataka  wananchi mjitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye maboresho ya daftari la mpiga kura  ili kupata fursa ya kuchagua  viongozi wazuri hata nyinyi mkitaka kugombea ni uhuru wa kidemokrasia kushiriki",amesema Mhe. Malisa

 Mhe. Malisa  ametumia fursa hiyo kuwapa salamu za Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ambaye hivi karibuni atafanya ziara  katika maeneo yao.

Wakati huo huo amehaidi kuchangia Sh. 500,000 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi  Tembele lengo likiwa ni kupunguza msingamano wa wanafunzi kwenye vyumba vya madarasa  sambamba na kuhamasisha jamii kuchangia.

Malisa pia ameomba wananchi kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali za Mitaa na kubainisha kuwa Mkuu wa Mkoa, Mhe. Homera atafanya ziara ya kusikiliza kero zao .

Kaimu Mkurugenzi Jiji la Mbeya na Ofisa Elimu Jiji , Dkt. Julius Lwinga amesema Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya shule kongwe ambazo ni chakavu.

Wakati huo huo wananchi wameomba Serikali kuboresha miundombinu ya barabara ili kurahisisha usafiri wa kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.