• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

“HAKUNA MWANAFUNZI ATAKAYEKOSA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA CHANGAMOTO YA MADARASA JIJINI MBEYA” RC HOMERA

Imewekwa Tarehe: December 29th, 2022

Mkoa wa Mbeya umetangaza hakutokuwa na changamoto ya madarasa itakayopelekea wanafunzi walio faulu kuingia kidato cha kwanza kushindwa kuanza masomo pindi muhula mpya utakapoanza tarehe 8 Januari 2023 kufuatia ongezeko la madarasa zaidi ya elfu moja.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameyazungumza hayo baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya kwenye Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa kukagua miradi ya Afya na Elimu na kuweka bayana kuwa watoto 45,559 waliofaulu kuingia kidacho cha kwanza wataingia madarasani kufuatia ongezeko la madarasa zaidi ya elfu moja Mkoa mzima.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa ametoa pongezi kwa Hlamashauri ya Jiji la Mbeya chini ya Kaimu Mkurugenzi Wakili Triphonia Kisiga kwa kushika nafasi ya nane kitaifa kwa kufaulisha watoto 11,321 ikiwa ni ongezeko la ufaulu la asilimia mbili(2%) huku Mkoa mzima ukiwa umefaulisha watoto 45,559.

Pia Mkuu wa Mkoa Juma Homera ametoa maelekezo kwa Watendaji Kata kuhakikisha watoto wote waliofaulu wanaripoti kwenye shule walizopangiwa na kuwachukulia hatua wazazi wote watakaokwamisha wanafunzi kuingia shule kwa kuwapeleka kwenye shughuli za shamba na mambo mengine kwa vile hakuna kisingizio maana Serikali inatoa elimu bure kuanzia ngazi ya awali,shule ya msingi mpaka kidato cha sita.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Wakili Triphonia Kisiga amemhakikishia Mkuu wa Mkoa na watanzania kiujumla kuwa hakutokuwa na mwanafunzi atakayekosa nafasi ya kuingia kidato cha kwanza kutokana na changamoto ya madarasa kwa vile Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan imelipatia Jjiji hilo shilingi milioni 260 ambazo zimejenga vyumba vya madarasa 13 yakiwa na viti na meza.

Wakili Triphonia Kisiga ameongeza kuwa kwa kiasi hicho cha shilingi milioni 260 wamekamilisha ujenzi wa vyumba hivyo kumi na tatu vikiwa na umeme,viti na meza kwa asilimia mia (100%) hivyo watoto 11,321 waliofaulu wataingia darasani ifikapo tarehe 8 Januari 2023 bila changamoto.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.