• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

IDADI NDOGO YA WATOTO WASIOKUWA NA VYETI VYA KUZALIWA MKOANI MBEYA YAMUIBUA RC HOMERA NA KAMPENI YA UANDIKISHAJI WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Imewekwa Tarehe: April 24th, 2023

Mkoa wa Mbeya umezindua zoezi la kuhakikisha watoto wenye umri chini ya miaka mitano wanaandikishwa na kupata vyeti vya kuzaliwa kwenye Wilaya zote tano na Halmashauri zake saba.

Akiongea wakati wa kuzindua zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera amesema kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vizazi na vifo Toleo namba 108 ya mwaka 2002 mtoto anatakiwa kuandishwa ndani ya siku tisini(90) tangu kuzaliwa kwake lengo likiwa kuhakikisha kila mtoto anakuwa na cheti kama takwa la kisheria (Sheria ya mtoto namba 21 ya mwaka 2009) linavyotaka.

Aidha Mkuu wa Mkoa ameeleza faida ya mwananchi kuwa na cheti cha kuzaliwa ni kurahisisha mchakato wa kupata huduma kutoka kwenye taasisi  mbalimbali ikiwemo Elimu,Afya,Ajira,NIDA na kuiwezesha serikali kupata takwimu sahihi na kutambulika kwa muhusika.

Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Disemba 2022 jumla ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano 35,391 wamesajiliwa na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kati ya watoto 82,212 waliozaliwa hai kwa kipindi hicho  sawa na asilimia 43 kwa mujibu wa kanzidata kutoka makao makuu ya RITA takwimu hii inaonesha idadi kubwa ya watoto kutokuwa na vyeti vya kuzaliwa.

Pia Mheshimiwa Juma Homera ameweka bayana baadhi ya changamoto zinazopelekea watoto kutokuwa na vyeti vya kuzaliwa ni baadhi ya wazazi au walezi kutoona umuhimu wa vyeti hivyo,kuchelewa kutoa jina kwa mtoto mara tu anapozaliwa ili aweze kupata cheti hapohapo,baadhi ya wakina mama kutokuwa na taarifa kamili za baba wa mtoto kama vile umri,majina,sehemu aliyozaliwa na makazi ambazo ni taarifa muhimu katika kuandikisha cheti cha kuzaliwa.

Zoezi hili linatarajia kufanyika kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Aprili hadi mwezi Januari 2023 likihusisha watoto wenye umri chini ya miaka mitano,ambapo uandikishaji na utoaji wa vyeti utafanyika bila malipo na baada ya zoezi hili uandikishaji na utoaji vyeti vya kuzaliwa utafanyika bila malipo kwa watoto wanaozaliwa ndani ya siku tisini (miezi mitatu).

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI April 01, 2023
  • MAPOKEZI YA FEDHA December 30, 2022
  • FINANCIAL STATEMENT FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2021 October 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI SIKU YA TAREHE 28/9/2022 OFISI YA MTENDAJI WA KATA UYOLE September 27, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • IDADI NDOGO YA WATOTO WASIOKUWA NA VYETI VYA KUZALIWA MKOANI MBEYA YAMUIBUA RC HOMERA NA KAMPENI YA UANDIKISHAJI WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

    April 24, 2023
  • TAASISI YA TULIA TRUST NA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MBEYA ZACHANGIA UJENZI WA UZIO LEGICO SEKONDARI

    March 31, 2023
  • RASMI MAZIWA SEKONDARI JIJINI MBEYA KUWA YA WASICHANA KUANZIA JANUARI 2024

    March 24, 2023
  • JIJI LA MBEYA LATOA MIKOPO YA TSH 660,000,000/= KWA VIKUNDI 36 ROBO YA PILI

    March 23, 2023
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.