• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

JIJI KUKARABATI NYUMBA KWA AJILI YA TIMU YA MBEYA CITY

Imewekwa Tarehe: April 18th, 2024


Kamati ya uchumi afya na elimu Halmashuri ya Jiji la Mbeya, imeridhia kufanyika kwa ukarabati wa nyumba  itakayotumika kwa ajili ya wachezaji wa timu ya Mbeya City iliyopo Block T pamoja na nyumba ya mwalimu wa timu iliyopo eneo la Soko Matola zitakazogharimu kiasi cha TZS 30,000,000.

Hatua hiyo inafuatia ziara iliyofanyika tarehe 18 Aprili, 2024 katika nyumba hizo ili kujiridhisha kama fedha zilizoombwa kwa ajili ya ukarabati ni halali.

 Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Juma Simbeyanje ambaye ndiye alikuwa mkuu wa msafara pamoja na wajumbe wa kamati hiyo wameridhia kufanyika kwa ukarabati huo ili kupunguza gharama za uendeshaji wa timu ya Mbeya City.

Aidha kamati hiyo imeridhishwa na mpango  wa kuwa na uwanja wa mazoezi wa timu ya Mbeya City katika eneo ambalo nyumba ya wachezaji hao itakayofanyiwa ukarabati.

Kwa upande wake Afisa Habari wa Klabu ya Mbeya City  Bw. John Kilua amesema lengo  ni kuhakikisha timu ya Mbeya City inapunguza gharama za uendeshaji kwani makadirio ya awali yaliyofanyika ili kukamilisha ukarabati wa nyumba hiyo itakayotumika kama kambi ya wachezaji inatarajiwa kugharimu TZS 14,000,000 wakati nyumba ya mwalimu wa timu itagharimu TZS 16,000,000

Kwa sasa wachezaji wa timu ya Mbeya City wanaishi katika nyumba ya kupanga iliyopo Isyesye jijini hapa, ambayo inalipiwa kodi ya TZS 600,000 kwa mwezi.

Aidha Kamati hiyo ilitembelea shule ya Msingi ya Uhuru, iliyopo eneo la Mwakibete na kukagua mradi wa ujenzi wa matundu ya vyoo vya wanafunzi ambao umekamilika na kubaini baadhi ya mapugufu ambayo yanatakiwa kufanyiwa maboresho kabla ya vyoo hivyo kuanza kutumika.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.