• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

JIJI LA MBEYA LAVUKA MALENGO YA CHANJO YA POLIO LAFIKISHA ASILIMIA 120. SEPTEMBA 25 2023

Imewekwa Tarehe: September 25th, 2023

Halmashauri ya Jiji la Mbeya limevuka malengo ya utoaji Chanjo ya Matone ya Polio kwa watoto chini ya umri wa miaka nane kwa kufikia asilimia 120 tangu zoezi hilo lilipozinduliwa Septemba 21 mpaka Septemba 24 na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera.

Akizungumza wakati wa kutoa taarifa hiyo Mratibu wa Chanjo Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bi.Zuhura Mohamed amesema wamefanya vizuri katika zoezi hilo malengo yalikuwa kuchanja watoto waliochini ya umri wa miaka nane 138,916 baada ya kuanza zoezi la chanjo ya matone ya Polio wamefanikiwa kuchanja watoto 167,660 idadi ambayo sawa na asilimia 120.

Bi.Zuhura ameongeza kuwa katika kuhakikisha watoto wote waliochini ya umri wa miaka nane wanapatiwa chanjo ya matone ya Polio kwenye Jiji la Mbeya wameongeza siku mbili ili kufikia malengo ya Serikali ya awamu ya sita iliyochini ya Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuwalinda watoto kwa kuwapatia kinga yenye malengo ya kukilinda kizazi kijacho ili kiwe imara na chenye afya bora.

Vituo vya afya 53 vitatumika kutoa chanjo na timu maalum za uchanjaji zitatumia siku hizo mbili Setemba 25 na 26 kupita kwenye maeneo yaliyokuwa na Changamoto mbalimbali ili kufanikisha kuwapatia huduma ya chanjo watoto waliopitwa na kampeni hiyo.

Mratibu wa Chanjo Halmashauri ya Jiji la Mbeya  Bi.Zuhura Mohamed amesema mafanikio ya kufikia asilimia 120 kwenye zoezi la Chanjo ya matone ya Polio ni matunda ya ushirikiano na mipango madhubuti iliyopangwa kuanzia ngazi ya Mkoa chini ya Mkuu wa Mkoa Mh.Juma Homera,Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa ,Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya John Nchimbi ,Viongozi wa dini zote , Viongozi wa kimila,watumishi wa idara ya afya,watumishi wa idara nyingine sambamba na wananchi ambao walitoa ushirikiano mkubwa mpaka kufikia na kuvuka malengo.

Kufanyika kwa kampeni na zoezi la chanjo kwenya mikoa ya Mbeya ,Songwe ,Rukwa ,Katavi na Kagera kumetokana kuonekana kwa dalili za ugonjwa huo ambapo kwenye baadhi ya maeneo wamepatikana wagonjwa baada ya kuchukuliwa sampuli na kubainika watu hao wamepatwa na ugonjwa huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.