• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MADIWANI JIJI LA MBEYA WAPATA SEMINA ELEKEZI JUU YA UONGOZI

Imewekwa Tarehe: January 22nd, 2026

Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wameanza rasmi mafunzo maalumu ya uongozi ikiwa ni sehemu ya kukumbushwa wajibu wao kama viongozi na wawakilishi wa wananchi katika Kata wanazoziongoza ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Mafunzo haya yanafanyika kuanzia leo tarehe 22/01/2026 hadi tarehe 24/01/2026 katika ukumbi wa Hotel ya G WONDER iliyopo Mbalizi Wilayani Mbeya.

Lengo la Mafunzo haya ni kuhakikisha waheshimiwa Madiwani wanapata uelewa kuhusu majukumu yao kwa upana zaidi na namna ya kuyatekeleza wakati wa kuwahudumia wananchi katika maeneo yao.

Aidha Waheshimiwa Madiwani watakuwa na wasaa mzuri wa kuelewa vyema Halmashauri na serikali za mitaa ili kuboresha utendaji kazi wa kila siku, pamoja na kusimamia vyema Halmashauri kwa kuzingatia sharia,kanuni na taratibu.

Akifungua mafunzo hayo Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mheshimiwa Kefas Mwasote alieleza kuwa mafunzo haya yanawapitisha kuhusiana na wajibu na mipaka ya kiongozi ili wawe pamoja.

“Hapa katikati tulienda kila mtu kivyakevyake ila sasa tutakuwa na uelewa wa namna bora ya kuongoza ndani ya Halmashauri yetu, leo tunavua ganda gumu tufukie yote yaliyopita tufanye kazi pamoja tusiwe na kundi lolote bali kundi moja tu la Halmashauri ya Jiji la Mbeya chini ya Mstahiki Meya Dormohamed Issa Rahmat na Naibu Meya wake Kefas Mwasote.

Nae Mwakilishi kutoka TAMISEMI Bi Yusta Bubinza amewapongeza Madiwani wa Jiji la Mbeya kwa kuaminiwa na kuchaguliwa kuwa viongozi kutoka katika Kata zao ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Aidha ameeleza kuwa mafunzo haya yatawajengea uwezo Waheshimiwa Madiwani wa kufanya maamuzi sahihi bila kuonea mtu wakati wakutekeleza majukumu yao.

                 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA January 16, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI JIJI LA MBEYA WAPATA SEMINA ELEKEZI JUU YA UONGOZI

    January 22, 2026
  • MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHE. SOLOMON ITUNDA ATAKA VIKAO VYA BARAZA LA BIASHARA KUFANYIKA KWA WAKATI NA KUZITANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    January 07, 2026
  • RC MALISA AGAWA MADAWATI JIJI LA MBEYA

    October 25, 2025
  • TUME HURU YA UCHAGUZI IMEWATAKA WASAIDIZI WA UCHAGUZI KWENYE MAJIMBO MBEYA MJINI NA UYOLE KUZINGATIA MAFUNZO WALIYOPEWA

    August 05, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.