• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI WA MITI RAFIKI WA MAJI MBEYA

Imewekwa Tarehe: November 17th, 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Novemba16 , 2022 amezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya upandaji miti rafiki wa maji kwenye vyanzo vya maji, zoezi lililofanyika katika chanzo cha maji cha Nzovwe  kata ya Mwakibete Jijini Mbeya.

Makamu wa Rais ametoa wito kwa viongozi wote wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanafanya jitihada za ziada katika kulinda vyanzo vya maji pamoja na kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kuondoa wananchi walioweka makazi katika vyanzo vya maji na kuharibu vyanzo hivyo.

Pia Makamu wa Rais amesema umefika wakati Wizara ya Ardhi kufanya upimaji wa ardhi kwa ajili ya maeneo mahususi ya ufugaji na kuondokana na ufugaji holela wa mifugo unaochangia uharibifu wa mazingira.

Makamu wa Rais amewaasa Wakulima, Wafugaji na wenye Viwanda kutambua suala la matumizi ya rasilimali maji linapaswa kuwa endelevu kwa kutochafua na kuharibu vyanzo vya maji.

Amewataka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuongeza juhudi katika kila mkoa kutambua miti rafiki wa maji na kuwa na miche ya kutosha itakayopandwa katika vyanzo vya maji huku akiwaagiza kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi juu ya miti rafiki ya maji na kuondokana na makosa yaliofanyika katika baadhi ya maeneo na kukausha vyanzo vya maji.

Makamu wa Rais ameagiza Wakuu wa Mikoa wote nchini kuzindua rasmi kampeni ya upandaji miti rafiki wa maji katika maeneo yao ili kufikia lengo la kupanda miti milioni 2.5 lililowekwa mwaka huu.

Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA December 30, 2022
  • FINANCIAL STATEMENT FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2021 October 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI SIKU YA TAREHE 28/9/2022 OFISI YA MTENDAJI WA KATA UYOLE September 27, 2022
  • TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA HALMASHAURI ZOTE KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 August 03, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RASMI JIJI LA MBEYA LASITISHA USAJILI WA BAJAJ

    January 31, 2023
  • RC HOMERA AWAAGIZA WAKUU WA WILAYA KUSIMAMIA MIRADI IPASAVYO

    January 30, 2023
  • WILAYA YA MBEYA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS YAKABIDHI VISHIKWAMBI 1835 KWA WALIMU.

    January 14, 2023
  • SERIKALI YAANZA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIWA NA MAFURIKO MBEYA

    January 11, 2023
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.