• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHE. SOLOMON ITUNDA ATAKA VIKAO VYA BARAZA LA BIASHARA KUFANYIKA KWA WAKATI NA KUZITANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

Imewekwa Tarehe: January 7th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Solomon Itunda amefanya kikao cha baraza la biashara kufikia maazimio mbalimbali ikiwa pamoja na kuhakikisha vikao vya baraza la biashara vinafanyika kwa wakati na kuzitangaza fursa za uwekezaji na vivutio vya utalii vinavyopatikana ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo Mhe.Solomon Itunda amewasisitiza kuongeza jitihada za kuzitangaza fursa ikiwezekana kusafiri ndani na nje ya nchini ili kuwapata wawekezaji ambao wanaweza kuja kuwekeza katika Wilaya ya Mbeya na maeneo mengine mkoani Mbeya kulingana na uhitaji wao.

Aidha Mhe. Itunda amewataka wajumbe hao kufikisha salamu za pongezi kwa wafanyabiashara wa Wilaya ya Mbeya kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Taifa kupitia kodi wanazolipa zimeongeza ukusanyaji wa mapato yanayotokana na ulipwaji wa ada za leseni za biashara,tozo na kodi mbalimbali wanazolipa zimepelekea mwaka wa fedha 2024/2025 kukusanya zaidi ya shilingi billioni 24.

Kwa upande mwingine Mhe. Itunda kwa niaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa muongozo kwa wasaidizi wake wote kukusanya kodi na tozo mbalimbali kwa Amani na utulivu jambo ambalo limepelekea kupata matokeo mazuri ya makusanyo makubwa ya mapato kwenye Halmashauri ya Jiji la Mbeya  na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya zinazopatikani Wilayani Mbeya.

Vilevile Mhe. Itunda amewataka wajumbe wa kikao hicho na wananchi wa Mbeya kwa ujumla kuendelea kuitunza Amani ya nchi kwani hiyo ndiyo chachu ya maendeleo ya taifa la Tanzania ambapo amewataka endapo mtu yeyote atapata taarifa au kuona kusudio la upangaji wa uvunjifu wa Amani basi wasisite kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama ili viweze kuchukua hatua stahiki juu ya jambo hilo.

Akihitimisha kikao cha baraza hilo Mhe. Itunda amewasisitiza wafanyabiashara kuhakikisha wanafanya biashara zao kwa malengo waweze kupiga hatua na kuacha kufanya biashara kwa mazoea ili kuendeleza utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari kwa kushirikiana na viongozi wa serikali Mamlaka ya Mapato nchini TRA lengo likiwa kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHE. SOLOMON ITUNDA ATAKA VIKAO VYA BARAZA LA BIASHARA KUFANYIKA KWA WAKATI NA KUZITANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    January 07, 2026
  • RC MALISA AGAWA MADAWATI JIJI LA MBEYA

    October 25, 2025
  • TUME HURU YA UCHAGUZI IMEWATAKA WASAIDIZI WA UCHAGUZI KWENYE MAJIMBO MBEYA MJINI NA UYOLE KUZINGATIA MAFUNZO WALIYOPEWA

    August 05, 2025
  • RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

    June 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.