• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MKUU WA WILAYA YA MBEYA DKT,. CHUACHUA AZINDUA RASMI KAMPENI YA CHANJO YA POLIO JIJINI MBEYA

Imewekwa Tarehe: December 1st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt. Rashid Chuachua leo amezindua rasmi chanjo ya polio awamu ya nne kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano uzinduzi huo umefanyika kwenye kata ya Mabatini JijiniMbeyana kampeni hiyo inatarajia kukamilika Disemba 4, 2022.

Akizungumza katika uzinduzihuoDkt. Chuachua amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kulinda afya za Watanzania licha ya kwamba ugonjwa huo haujaingia nchini Tanzania bali umeanza kuleta athari  katika nchi jirani ya Malawi ambapo Tanzania imeona kuna umuhimu wa kuanza kampeni ya kutoa chanjo ili kuzuia uwezekano wa kuibuka kwa ugonjwa huo nchini.

Aidha Dkt. Chuachua ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Mbeya kuhakikisha watoto wote wanapata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio ugonjwa hatari unaoweza kusababisha ulemavu  kwa watoto.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Dkt Jonas Lulandala amewashukuru wananchi kwa kuipokea chanjo na kuingia kwenye utekelezaji kwa kuwapeleka watoto wao kupata chanjo ambapo pia amewaomba wazazi kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi hilo.

Mratibu wa chanjo Jiji la Mbeya Zuhura Mohammed ameeleza kuwa watoto wote walio na umri chini ya miaka mitano watapatiwa chanjo hiyo kwa njia ya matone na zoezi hilo litafanyika nyumba kwa nyumba na watoto wote waliopatiwa chanjo watawekewa alama kwenye vidole vyao na kila nyumba ambayo watoto wamepatiwa huduma hiyo ya chanjo zitawekewa alama ili kuonesha kwamba watoto wamepatiwachanjo  ya Polio.

Ikumbukwe kuwa kampeni hiyo imeanza leo Disemba 1 na kukamilika Disemba 4 mwakahuu na inatarajiwa watoto takribani laki moja watapati wachanjo hiyo JijiniMbeya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.