• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

Imewekwa Tarehe: January 24th, 2025

Walimu wakuu wa shule za msingi Jiji la Mbeya wapata motisha kwakukamilisha miradi ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya shule kwa fedha za mapato ya ndani kwa wakati.

Motisha hiyo imetolewa na mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa walimu wakuu 10 wa Shule za msingi waliokamilisha ukarabati wa vyumba vya madarasa, ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa na ujenzi wa matundi ya vyoo kwa wakati.

Akikabidhi motisha hizo leo tarehe 24 mwezi wa kwanza 2025 katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kwa niaba ya Mkurugenzi wa Jiji Afisa elimu msingi wa Jiji la Mbeya Mwl. Anderson Mwalongo amewapongeza walimu wakuu wote kwa usimamizi mzuri wa miradi, huku akiwataka walimu wanaoendelea na ujenzi kukamilisha usimamizi huo ili kuendana na wakati.

Aidha Mwl. Mwalongo amewaambia walimu wakuu kua ukamilishaji wa miradi kwa wakati unatufanya tutimize makusudio ya Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mbunge wetu wa Jiji la Mbeya Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na Balaza la Madiwani chini ya Mstahiki Meya Mhe. Dormohamed Issa Rahmat na Mkurugenzi Bw. John John Nchimbi.

Nae Mwl. Abdallah Ally mratibu wa miradi Shule za msingi akimkaribisha Afisa elimu amewapongeza walimu hao kwa usimamizi mzuri wa miradi huku akiwapa changamoto walimu wengine ambao hawajapata motisha waendelee kupambana kwenye usimamizi wa miradi ili na wao siku moja wawe sehemu ya wapewa motisha.

Katika kuhakikisha miundombinu ya Shule ya msingi inaimarika, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024-2025 amepeleka jumla ya shilingi 1,090,000,000 katika shule 25 za msingi za Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwaajili ya ujenzi wa vyumba 16 vya madarasa, ukarabati wa vyumba 58 vya madarasa na ujenzi wa matundu 80 ya vyoo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.