• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RASMI JIJI LA MBEYA LASITISHA USAJILI WA BAJAJ

Imewekwa Tarehe: January 31st, 2023

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imesitisha usajili na maboresho ya usajili wa pikipiki ya matairi matatu maarufu Bajaji kufuatia kuwepo kwa mrundikano wa vyombo hivyo vya moto usiozingatia sheria za usalama barabarani na baadhi kuhusishwa na matukio ya uhalifu.

Akiongea wakati wa kulitangaza azimio hilo Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mh.Dormohamed Issa amesema Baraza lililoketi katika kikao chake cha robo ya pili kusitisha usajili wa Bajaji kutokana na sababu za sheria za usalama barabarani na baadhi kuhusishwa na matukio ya uhalifu pia kumekuwa na udanganyifu kwa baadhi ya wamiliki kutumia namba za usajili wa bajaji za zamani kwa bajaji mpya jambo ambalo ni kinyume cha sheria

Aidha Mstahiki Meya amefahamisha kuwa zoezi hilo la kusitisha usajili wa Bajaji litakoma pale mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne unaotarajia kuanza hivi karibuni kukamilika kwa vile katika mradi huo kutakuwa na njia za bajaji na bajaji nyingine zitakuwa zimechoka kwa namna moja ama nyingine msongamano na changamoto nyingine zinazotokana na vyombo hivyo vya moto zitakuwa zimefikia kikomo.

Hoja ya kuondosha changamoto na kero zitokanazo na Bajaji kwenye kikao cha robo ya pili ya Baraza la madiwani Halmashauri ya Jiji la Mbeya iliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Nsalaga Mchungaji David Ngogo ambaye alieleza bayana kuwa baadhi ya vyombo hivyo na waendeshaji wake wamekuwa wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu,uvunjaji wa sheria za barabarani na vitendo vya ubakaji.

Nae Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Wakili Triphonia Kisiga amesema kusitisha usajili wa bajaji kumeanza muda mrefu ila kwasasa Baraza la Madiwani limeamua kusisistiza hivyo kama watendaji tutakwenda kulisimamia ipasavyo utekelezaji wa zoezi hilo umetokana na maelekezo ya kamati ya ulinzi na usalama.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.