• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RASMI MAZIWA SEKONDARI JIJINI MBEYA KUWA YA WASICHANA KUANZIA JANUARI 2024

Imewekwa Tarehe: March 24th, 2023

Halmashauri ya Jiji la Mbeya inaibalidisha Shule ya Sekondari Maziwa kuwa ya wasichana kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita kuanzia Januari 24 mwaka 2024 na kufanya Jiji kuwa na shule Mbili za wasichana ikitanguliwa na Shule ya sekondari ya Wasichana Loleza.

Akiongea na waandishi wa habari Afisa elimu Sekondari wa Jiji la Mbeya Bi.Matilda Luvanda amesema mipango ya kuibadilisha shule hiyo kuwa ya wasichana imekamilika na ujenzi wa Mabweni unaendelea huku mafundi wakiwa kwenye hatua ya kuweka malumalu.

Afisa elimu huyo ameendelea kufafanua kuwa kwasasa shule hiyo ni mchanganyiko, wanafunzi wavulana waliopo watapungua ama kuondoka kadiri watakavyokuwa wanahitimu kidato cha nne hivyo baada ya miaka mitatu watakuwa wamemalizika na usajili utakaoanzia mwakani ni kwa wasichana pekee.

Matilda ameongeza kuwa shilingi milioni 350 fedha zilizotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya zinaendelea kukarabati miundombinu mingine ya shule na ujenzi wa mabweni yatakayotumiwa na wanafunzi wasichana watakaojiunga na shule hiyo kuanzia mwakani.

Wanafunzi wasichana watakaojiunga na shule hiyo ni wale watakaofanya vizuri kweye mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba kutoka Mbeya Jiji na wanafunzi watakao jiunga na kidato cha tano  kutoka shule mbalimbali nchini wakiwa na wastani mzuri wa ufaulu kwenye mitihani ya kidato cha nne.

Halmashauri ya Jiji la Mbeya inakwenda kuwa na shule ya pili ya wasichana ya serikali ambapo awali kulikuwa na shule moja ya wasichana Loleza ambayo ilijengwa na kuanza kazi tangu enzi ya ukoloni ikiwa imefundisha wanafunzi wengi viongozi na mashuhuli akiwemo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. Tulia Ackson.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.