• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RC HOMERA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KULIOMBEA TAIFA

Imewekwa Tarehe: July 25th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera amewaomba viongozi wa dini kuendelea kuliombea taifa ili amani.umoja na mshikamano viendelee kudumu kwa maslahi ya nchi,wananchi,kizazi cha sasa na kijacho.

Akizungumza kwenye hafla ya maadhimisho ya siku ya mashujaa yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya makaburi ya Mashujaa vilivyopo Jijini Mbeya amesema pamoja na viongozi wa dini wananchi bila kujali itikadi zao wanapaswa kuilinda misingi ya amani iliyopo itakayotoa fursa nzuri kwa watoto na vijana kupata elimu bora,kujifunza maadili mema na kusimamia mila na desturi zetu.

Mh.Homera ameongeza kuwa pamoja na kuiombea nchi viongozi wa dini na wananchi wanapaswa kuendela kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya kizalendo anayoifanya katika kuleta maendeleo hasa kwenye Mkoa wa Mbeya kwa kuleta mradi mkubwa wa barabara ya njia nne mradi mkubwa wa Maji Kiwira na barabara ya mchepuko kutoka Mlima Nyoka mpaka Songwe ambayo mkataba wake ulisainiwa Mei 16 2023 Jijini Dodoma.

Pamoja na viongozi wa dini Mkuu wa Mkoa Mh.Juma Homera amewaomba viongozi wa kimila kwa imani yao kuliombea taifa na kumuombea Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni kiongozi wa machifu nchini ambaye amepewa jina la Chifu Hangaya.

Kila mwaka ifikapo Julai 25 Tanzania inaadhimisha kumbukumbu ya mashujaa waliolipigania taifa mpaka kupatikana uhuru wa Tanganyika Desemba 9 1961 na baadae kuzaliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo April 26 1964.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.