• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RC MALISA AGAWA MADAWATI JIJI LA MBEYA

Imewekwa Tarehe: October 25th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Beno Malisa amezindua na kukabidhi Madawati 1000 kwa Shule za msingi jijini Mbeya ikiwa ni katika kutimiza mpango wa kukabidhi madawati 2,222 kwa shule 15 huku shule za Sekondari zikinufaika kwa kupatiwa  madawati 526, hayo yamefanyika leo tarehe 25.10.2025 katika Shule ya msingi Hasangailiyopo Kata ya Uyole.

Akizinduwa madawati hayo Mhe. Malisa amesema serikali inalenga kuhakikisha wanafunzi hawakai chini kwa kukosa madawati ya kukalia wakati wa masomo hivyo amewataka wazazi kushirikiana na serilikali katika kuwasisitiza wanafunzi wanayatunza madawati hayo ili yaweze kudumu na kutumika kwa kipindi kirefu ili kupunguza gharama za utengenezaji wa madawati kila mara kwani fedha hizo zinatokana na kodi za wanachi ambao ni wazazi na walezi wa wananfunzi wengi Mkoani Mbeya.

“Niwaombe wazazi muendelee kuwasisitiza watoto kwa kuwa fedha hizi zinazoleta maendeleo ni sehemu ya tozo mbalimbali zinazozalisha haya, kwahiyo tuwahimize watoto wetu watunze wahakikishe dawati hilo linadumu”. Amesema Malisa

Aidha Mhe. Malisa amemshukuru Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bwa. Justice Kijazi kwa kuhakikisha wafanyabiashara wa Jiji la Mbeya wanaendelea kulipa tozo za biashara zao kwani matokeo ya tozo hizo yanaonekana kwa vitendo.

Akitoa taarifa fupi ya utengenezaji wa Madawati hayo Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bw. Justice Kijazi amesema Halmashauri ya Jiji la Mbeya katika mwaka wa Fedha 2025/2026 imepanga kutumia fedha Asilimia 70 ya mapato ya ndani yasiyofungwa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Halmashauri ya Jiji la Mbeya katika kipindi cha robo ya kwanza imefanikiwa kutoa kiasi cha shilingi billioni 4,483,284,522.9/= ambazo zimeelekezwa katika mfuko wa Vijana, Wanawake na wenye ulemavu, Shule za msingi, Shule za Sekondari na Vituo vya afya, Malipo ya fidia ya ardhi ambayo imepimwa, Matumizi ya lishe mashuleni pamoja na Utengenezaji wa Madawati, Viti na Meza.

Akihitimisha hotuba yake Mhe. Malisa amewaomba wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuhakikisha tarehe 29, Octoba 2025.wanajitokeza kwa wingi kupiga kura, huku wakizingatia Amani na utulivu wakati wote wa uchaguzi ili kuendelea kuilinda Amani ya Taifa letu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC MALISA AGAWA MADAWATI JIJI LA MBEYA

    October 25, 2025
  • TUME HURU YA UCHAGUZI IMEWATAKA WASAIDIZI WA UCHAGUZI KWENYE MAJIMBO MBEYA MJINI NA UYOLE KUZINGATIA MAFUNZO WALIYOPEWA

    August 05, 2025
  • RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI 2025/2030

    June 11, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.