• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

SERIKALI KUTOA VIWANJA 21 KWA WAHANGA WA MAPOROMOKO ITEZI - DKT. TULIA

Imewekwa Tarehe: April 21st, 2024

Serikali itatoa  viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope  katika mlima kawetere,  Itezi Jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa  kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili, 2024 maafa hayo yalipotokea hadi sasa.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa kwa ajili ya wahanga, Mbunge wa  jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni  Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson ametoa pole kwa wahanga hao na kumshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia.Suluhu Hassan kwa misaada ya chakula, magodoro, fedha taslimu na  viwanja kwa wahanga.

Aidha Mhe. Dkt. Tulia amewaomba wadau wengine watakaoguswa na jambo hili kuchangia vifaa vya ujenzi ili kufanikisha kupatikana kwa sehemu ya kujihifadhi wahanga hao, baada ya   nyumba zao kufukiwa na tope.

Kwa upande wake  Mhe. William Lukuvi  akiwakilisha ujumbe kutoka Ofisi ya Rais amesema kuwa  Mhe. Rais ameguswa na kila eneo  lililokumbwa na maafa hapa nchini na bado ataendelea kutoa msaada kwa wahanga.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera amekiri kupokea maelekezo kutoka kwa  Mhe. Rais na kuahidi kutoa viwanja sehemu nzuri kwa wahanga  na utekelezaji utaanza mara moja.

Mhe. Dkt. Tulia amefika Itezi leo tarehe 21 Aprili, 2024  na kuzungumza na wahanga pamoja na kutembelea eneo ulipotokea mmomonyoko wa tope  katika   mlima Kawetere.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.