• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

Imewekwa Tarehe: October 8th, 2024

Halmashauri ya Jiji la Mbeya leo Oktoba 8,2024 imefanya zoezi la kuwaapisha waandikishaji wa uchaguzi zaidi ya 200 ngazi za mitaa katika kuelekea zoezi la uandikishaji  wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

Zoezi hill  limefanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini hapa kwa  kula kiapo mbele ya  Hakimu wa Mahakama wa Wilaya Mkoa wa Mbeya .

Awali akizungumza baada ya kuapishwa ,  Msimamizi msaidizi wa uchaguzi Jiji la Mbeya  ,Oddo Nduguru amewataka waandikishaji kuepuka matendo ambayo yatakuwa yanakwenda kinyume na maadili wakati wa kuendesha zoezi hilo ili kutunza siri  za kiapo walichopewa.

"Tunaelekea  zoezi la Uandikishaji Daftari la kudumu la wapigakura litakaloanza Oktoba 11 mpaka 20 mwaka huu tunaomba wakawe wavumilivu kwa siku 10 za kuendesha zoezi hilo kwa kuzingatia kìapo na kufanya kazi kwa weledi"amesema.

Oddo amesema kitendo hicho kinaweza kuzua taharuki kwa jamii na kusisitiza kuzingatia miiko ya kanuni za uchaguzi na muda ulipangwa kuwasili kwenye vituo.

Ofisa uchaguzi Jiji la Mbeya ,Gregory Emmanuel ametoa maelekezo ya ushiriki katika zoezi la  uandikishaji sambamba na kuzingatia elimu ya semina  elekezi waliyopewa .

Naye  Ofisa mtendaji kata ya Sisimba ,na Msimamizi msaidizi wa uchaguzi,ametoa maelekezo ya maswali yasiyostahili  kuhojiwa wapigakura kama  ,udini ,ukabila ,ufuasi wa vyama na ajira.

Aidha amefafanua kuwa majengo yasiyo stahili kuandikisha wapigakura  misikiti,makanisa ,magereza na miundombinu ya ofisi za  vyama vya siasa

Aidha ametoa maelekezo ya wasimamizi wa uchaguzi kutowatilia mashaka  mawakala wa vyama vingine vya upinzani kwani wana haki ya kushiriki kuona mwenendo wa   zoezi hilo

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.