• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WANANCHI WATAKIWA KURIPOTI MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA

Imewekwa Tarehe: May 15th, 2024

Wananchi wa Wilaya ya Mbeya na Mkoa kwa ujumla wametakiwa kuacha tabia ya kumaliza changamoto za masuala ya ukatili wa kijinsia kifamilia ili kukomesha matukio ya aina mbalimbali za ukatili kwenye jamii.

Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya familia duniani yaliyofanyika kwenye Stand ya mabasi Mamlaka ya Mji Mdogo Mbalizi Mkuu wa Wilaya Mbeya Mhe.Beno Malisa ambaye amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa Mhe.Juma Homera amewataka wananchi kufikisha mambo hayo kwenye maeneo husika ili kufanikisha kutokomeza tabia hiyo inayoweza kupekelea kuwa na kizazi katili endelevu.

Mheshimiwa Malisa ameendelea kuwasihi wananchi kujitahidi kumaliza tofauti zilizopo kwa amani ili kuboresha ustawi wa watoto na familia kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za masuala ya ukatili zinaonesha baadhi ya matukio yanasabishwa na visasi vinavyotokana na kushindwa kutatua changamoto zinazowakabili kati yao.

Aidha Malisa amefafanua kuwa hali ya ukatili ujitokeza panapokuwa na migogoro ya kifamiliakwa wazazi kushindwa kuelewana na kuzalisha watoto wa mitaani wanaoishi kwenye mazingira magumu na kupelekea kuzalisha makundi ya uhalifu katika jamii.

“Nawaomba wananchi amani na upendo vitawale na muweze kumaliza tofauti zenu kifamilia bila migogoro na matatizo kwa watoto”Amesema Mkuu wa Wilaya Mh.Beno Malisa.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania SMAUJATA Wilaya ya Mbeya Bw.Joseph Lusoko amesema matukio ya ukatili kwasasa yanatolewa taarifa tofauti na siku za nyuma jambo ambalo linaonesha kiwango cha elimu na uelewa juu ya mapambano dhidi ya ukatili kimeongezeka.

Maadhimisho ya Siku ya Familia ufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 15 Mei ambapo mwaka huu yamebebwa na kaulimbiu isemayo “Tujaribu kumaliza tofauti zetu ndani ya familia ili ustawi wa watoto na familia zetu uwe mkubwa”.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.