• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WATOTO MIA SITA ELFU (600.000) KUPATIWA CHANJO YA POLIO NKOANI MBEYA

Imewekwa Tarehe: September 15th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema watoto zaidi ya 614,346 wanatarajia kupatiwa chanjo ya matone ya polio kuanzia September 21 mpaka 24 mwaka huu.

Homera amesema leo Septemba 15,2023 wakati akifungua mafuzo ya Kamati ya Msingi ya Afya ngazi ya Jamii (PHC) yaliyofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Amesema kuwa Mkoa wa Mbeya uko katika hatari ya kuibuka kwa ugonjwa wa polio kufuatia kuwepo kwa kirusi aina ya type 2 kilichobainika nchini Malawi.

“Hata Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiwa ziara yake aliutaja Mkoa wa Mbeya kuwa ni miongoni mwa mikoa ambayo iko kwenye hatari ya kuibuka kwa ugonjwa wa polio hivyo kuna kila sababu ya kujipanga hususan katika maeneo ya mipakani ”alisema.

Homera amewataka Waganga wakuu,Wakurugenzi kuhakikisha watoto wote wenye umri kati ya 0 mpaka miaka 8 wanapata chanjo ya polio na kufika mpaka maeneo yasiyo fikika .

Kwa upande wake Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa, Dk Elizabeth Nyemi amesema Shirika la Afya Duniani (WHO,) limetoa zaidi ya Sh 1.3 bilioni kwa ajili ya  kuendesha zoezi la chanjo kwa kuzifikia halmashauri zote kwenye vijiji 764  ikiwepo usafiri na posho za wataalam.

Mwakilishi wa Wizara ya afya,Zainab Ngamungumi amesema katika utoaji wa chanjo katika maeneo ya mipakani utawekwa utaratibu wa kutoa chanjo kwa watoto walio na umri kati ya 0 mpaka miaka 8.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.