• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WAZAZI WAHAMASISHWA KUBORESHA HUDUMA YA CHAKULA SHULENI

Imewekwa Tarehe: March 28th, 2024

Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa kushirikiana na muwezeshaji wa mifumo  ya chakula ya shirika la HELVETAS wametoa elimu ya umuhimu wa huduma ya utoaji chakula shuleni katika Kata za Iduda na Mabatini ili kuboresha lishe ya wanafunzi na kuinua kiwango cha ufaulu.

Elimu hiyo imetolewa  tarehe 27- 28 Machi, 2024 ikiwa ni muendelezo   wa utoaji elimu  kwa wazazi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika kata hizo ambayo imewezesha  kufikia muafaka wa kuchangia  chakula cha wanafunzi ili kulinda haki ya mwanafunzi ya kupatiwa huduma muhimu na kuongeza kiwango na ufaulu na hatimaye kupata wataalam wa kuendeleza taifa.

Mmoja wa wazazi wa wanafunzi wanaosoma Shule ya Sekondari Iduda, Bw. Patrick Mtewele amesema, mpango wa utoaji huduma ya chakula shuleni ameupokea kwa furaha kwakuwa utaleta matokeo chanya, kwani bila kufanya hivyo ni kuwatesa watoto wanaotoka nyumbani asubuhi na kurudi jioni bila kupata chakula huku watoto waliobaki majumbani wakipata milo kamili asubuhi na mchana.

“Ni mateso makubwa na ni dhambi mbele za Mungu kushindwa kuwachangia chakula watoto wetu ambao Mungu ametujalia kama baraka, tunawashukuru wataalam kutoka Halmashauri na Mwezeshaji wa Mifumo ya Chakula wa shirika la Helvetas kutufafanulia faida za wanafunzi kupatiwa chakula katika muda muafaka”amesema Bw. Mtewele.

Kwa upande wake Bi. Neema Mwaitebele, mmoja wa wazazi wa wanafunzi wanaosoma  Shule ya Sekondari Mabasini iliyopo Kata ya Mabatini amesema, huduma ya utoaji chakula shuleni ni jambo la muhimu na imejidhihirisha kwenye matokeo ya ufaulu wa kidato cha pili kutokana na muamko wa wazazi  kuchangia chakula cha wanafunzi.

“Mimi kwangu hili suala ni muhimu na lazima matokeo waliyoyapata watoto wetu wa kidato cha pili yalikuwa mazuri, kwanini turudi nyuma, kukwamisha mpango huu ni kuhujumu matokeo mazuri ya ufaulu ya watoto wetu, hii haikubaliki”, ameeleza Bi. Mwaitebele.

Aidha Madiwani wa Kata hizo mbili Mhe.Patrick Mbilinyi(Kata ya Mabatini) na Mhe.Pishon Mwanibhanza (Kata ya Iduda) wamesema huduma hii kwenye Shule za Msingi inatolewa kwa kiwango cha chini, hivyo kupitia vikao wanatarajia kupiga hatua na kuboresha huduma  wakati shule zitakapofunguliwa baada ya likizo ya Pasaka.

 Wazazi, Madiwani na kamati ya chakula sambamba na wajumbe wa bodi za shule wameazimia kwa pamoja kuwachukulia hatua za kisheria ikiwa na kuwafikisha kwenye mabaraza ya Kata na mahakamani wale wote watakaokwamisha mpan

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.