• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WILAYA YA MBEYA YAGAWA VITAMBULISHO MIA MOJA ISHIRINI NA NANE ELFU (128,000) DC MALISA ATOA ANGALIZO

Imewekwa Tarehe: December 14th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa amewataka wananchi kuepuka matumizi mabaya ya vitambulisho vya taifa wanavyopatiwa ili kuepuka kukutwa na makosa ya jinai yanayoweza kupelekea kifungo gerezani.

Mh.Beno Malisa ameyazungumza hayo kwenye hafla ya uzinduzi wa awamu ya pili ya ugawaji wa vitambulisho vya taifa uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya ambapo vitambulisho vya taifa 128,000 vitagaiwa kwenye Halmashauri mbili zilizopo kwenye Wilaya ya Mbeya.

Kwa upande wake Afisa Msajili wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)Mkoa wa Mbeya Bi.Alavuya Ntalima amesema kwa awamu hii vitambulisho 128,000 vinataraji kugaiwa kwa wananchi wa Wilaya ya Mbeya  ambapo awali vitambulisho 184,000 vilitolewa na kufanya jumla ya vitambulisho 312,000 kutolewa tangu zoezi la kujiandikisha lilipoanza mwaka 2016.

Afisa Msajili wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)Mkoa wa Mbeya amewata wananchi kuchangamkia fursa hiyo ya kuchukua vitambulisho kwenye Kata zao ndani ya siku 14 baada ya hapo vitambulisho vyote vitarudishwa kwenye ofisi za mamlaka hiyo zilizopo Mbeya mjini hali inayoweza kuzaa usumbufu kwao kulingana na jiografia ya Wilaya ya Mbeya.

Mussa Ngeleza mkazi wa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya ameeleza furaha yake baada ya kupata kitambulisho hicho alichokisubiri tangu mwaka 2018 na changamoto za kukwama kufanikisha mambo mengi yaliyohitaji kitambulisho hicho mpaka pale ilipotangazwa kuwa unaweza kutumia namba na kufanikisha kutumia mifumo yote inayohitaji kitambulisho hicho.

“Nilikuwa napata changamoto pale kinapohitajika kitambulisho cha taifa kwenye mifumo kwa sasa nina furaha mpaka nashindwa kuongea asante sana Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kufanya mambo yamekuwa rahi” Mussa Ngeleza Mkazi wa Jiji la Mbeya.

Uzinduzi wa ugawaji wa vitambulisho vya taifa ngazi ya Mkoa ulifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Juma Homera hivi karibuni kwasasa zoezi hilo linaendelea kwenye Wilaya zote tano.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.