• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WILAYA YA MBEYA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS YAKABIDHI VISHIKWAMBI 1835 KWA WALIMU.

Imewekwa Tarehe: January 14th, 2023

Serikali ya Wilaya ya Mbeya imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kugawa vishikwambi 1835 kwa walimu wa shule za msingi na sekondari wa Halmashauri ya jiji la Mbeya kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa Mkapa.

Akiongea wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi vitendea kazi hivyo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh.Dkt Rashid Chuachua amesema wamezingatia agizo hilo lenye lengo la kuisaidia sekta ya elimu kuondoka kwenye makaratasi na kufuata ulimwengu wa kisasa kwa vile mambo mengi ya shule yaimeingia kwenye mifumo ya kompyuta kwa kusajili wanafunzi na taratibu zingine za kielimu.

Aidha Mkuu huyo wa Wilaya ya Mbeya amempongeza na kumshukuru Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuijali sekta ya elimu kwa kuboresha miundombinu ya kufundishia na kujifunzia kufuatia kukamilika kwa miradi ya ujenzi wa madarasa nchi nzima hali iyopelekea kutokuwepo kwa changamoto ya wanafunzi kukosa masomo kwasababu ya uhaba wa madarasa.

Nao walimu Bi.Gloria Chelewa na Bw Ambrosi Ngajilo wameishikuru serikali kwa kuwapatia vikwambia na wameahidi watakwenda kuvitua kwa malengo yaliyokusudia hasa katika kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku na kupunguza au kuondosha kabisa usumbufu wa kubeba makaratasi kwenye kipindi cha kusajili wanafunzi na kuwasilisha taarifa pindi zinapohitajika kwenye ngazi mbalimbali.

Mtakwimu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Cosma Kihovecho amesema vishikwambi hivyo 1835 vilivyo tumika kwenye zoezi la uandikishaji sensa vimetolewa kwa ajili ya kuwasaidia walimu kurahisha ufundishaji ,utoaji na uwasilishaji taarifa na uwekaji wa takwimu sahihi katika shule zao.

Mwisho

Matangazo

  • MAPOKEZI YA FEDHA December 30, 2022
  • FINANCIAL STATEMENT FOR THE YEAR ENDED 30 JUNE 2021 October 19, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA KICHAA CHA MBWA DUNIANI SIKU YA TAREHE 28/9/2022 OFISI YA MTENDAJI WA KATA UYOLE September 27, 2022
  • TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA HALMASHAURI ZOTE KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 August 03, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATENGA MILIONI 82 KUPAMBANA NA UDUMAVU

    February 23, 2023
  • SERIKALI KUSAINI MKATABA WA BILIONI 99 FEB 11 202..UJENZI WA MRADI WA MAJI KIWIRA.

    February 08, 2023
  • DC MALISA ATOA ONYO KALI KWA WAPOTOSHAJI JIJINI MBEYA

    February 07, 2023
  • RASMI JIJI LA MBEYA LASITISHA USAJILI WA BAJAJ

    January 31, 2023
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.