• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WILAYA YA MBEYA YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA CHANJO YA POLIO

Imewekwa Tarehe: September 18th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh. Beno Malisa amezindua kampeni ya Chanjo ya Matone dhidi ya ugonjwa wa Polio zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 mpaka Septetmba 24 kwenye Halmashauri zote mbili zilizopo katika Wilaya ya Mbeya.

Akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya sambamba na watumishi wa Halmashauri ya Mbeya Mh.Beno Malisa amewataka watumishi hao kutenga na kupanga mikakati ya kuhakikisha kila mwananchi anayeishi kwenye Wilaya ya anapatata taarifa juu ya Chanjo ya polio na faida ya Chanjo hiyo watoto waliochini ya umri wa miaka nane.

Mh.Malisa ameongeza kuwa katika kufanikisha zoezi la Chanjo Wilaya ya Mbeya imeunda timu zaidi ya mia tano ambazo zitafanya kazi ya kuhakikisha kila mtoto mwenye umri chini ya miaka nane atapatiwa chanjo ya polio ili kuwa na wananchi wajao wenye afya waliotayari kuzijenga familia zao na nchi kiujuma kwa kuwawezesha kuwakinga na ugonjwa huo unaosababisha kupooza,ulemavu na kupelekea kifo.

“Tukifanikiwa kuwapatia chanjo ya polio watoto waliochini ya umri wa miaka nane tutakuwa tumeliwezesha taifa kuwa na wazazi wajao wenye afya na wasio tegemezi kutokana na madhara ya ugonjwa wa polio hivyo watumishi na wananchi tuhimizane kuhakikisha zoezi hili linamfikia kila mlengwa”amesema Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.

Kwa Upande mratibu wa Chanjo Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bi.Zuhura Mohamed amesema wamejipanga vizuri kuwa hudumia chanjo watoto waliochini ya umri wa miaka nane na tayari wameanza kampeni hiyo ya kuhamasisha kwa kutumia vyombo vya habari na mitandano ya kijamii iliyopo jijini Mbeya na nje ya jiji kwa lengo la kufikisha ujumbe jamii.

Bi. Zuhura amewasihi wakazi wa jiji la Mbeya kujitokeza kwenye maeneo yaliyohainishwa katika kutoa huduma ya chanjo ikiwemo vituo vya afya, nyumba za Ibada yaani M    isikitini ,Makanisani ,Mashuleni na zoezi hilo litapita nyumba kwa nyumba lengo likiwa kumkinga mtoto na ugonjwa wa Polia ambao hauna tiba.

Kuanza kwa zoezi la chanjo Septemba 21 mpaka Septemba 24 kwenya mikoa ya Mbeya ,Songwe,Katavi na Kagera kumetokana kuonekana kwa dalili za kuwepo kwa ugonjwa huo ,katiaka baadhi ya maeneo wamepatikana wagonjwa baada ya kuchukuliwa sampuli na kubainika watu hao wamepatwa na ugonjwa wa Polio.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.