Majukumu ya Seksheni ya Technolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano ni kusimamia na kutoa ushauri wa matumizi sahihi ya teknohama pamoja na kufanya uchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta. aidha seksheni hii inahusika na mawasiliano na uhusiano kati ya Halmashauri na wadau mbalimbali.
NA |
HUDUMA ZITOLEWAZO |
VIWANGO VYA MUDA
|
1.
|
Kutoa taarifa za shughuli za Maendeleo kwa Umma
|
Kila robo mwaka
|
2.
|
Kushughulikia na kurekebisha matatizo ya Mifumo ya utoaji taarifa
|
Ndani ya wiki moja (1) baada ya kupokea taarifa
|
3.
|
Kuwezesha utekelezaji wa Mifumo ya utoaji taarifa
|
Ndani ya wiki moja (1)
|
4.
|
Kuunganisha mifumo ya mawasilialo ya mtandao wa intaneti ndani ya ofisi za Jiji
|
ndani ya wiki moja (1)
|
Kitengo hiki kina maafisa Tehama na maafisa Habari na maafisa hawa hufanya shughuli zifuatazo:-
AFISA TEHAMA
AFISA HABARI
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.