• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

Imewekwa Tarehe: June 16th, 2025

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imepongezwa kwa kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato kutoka bilioni kumi na tano miaka minne iliyopita mpaka kufikia kiasi cha shilingi bilioni ishirini nane ambayo sawa asilimia mia moja na kumi(110%)mwaka huu wa fedha 2024/2025.

Akizungumza wakati wa baraza la madiwani kupitia hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG),Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Dkt Juma Homera  amempongeza Mkurugenzi Bw.John Nchimbi,watendaji,Mstahiki Meya Mhe.Dormohamed Issa na Baraza la Madiwani kwa jitihada walizozifanya mpaka kufikia kiwango hicho kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025.

Aidha Mkuu wa Mkoa ametoa maelekezo kwa watendaji kuhakikisha wanatumia vyema fedha za serikali wakati madiwani wanaelekea katika mchakoto wa uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba kwa kumchagua Rais,wabunge na Madiwani baada ya kuvunjwa kwa mabaraza ya Halmashauri zote nchini mnamo Juni 20 mwaka huu.

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bi.Anamary Joseph amekiri kupokea maelekezo hayo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa na kuahidi kwenda kuyafanyia kazi ili kuzilinda na kuzisimamia vyema fedha za serikali kwa maslahi ya Umma.

‘‘Mkuu wa Mkoa kwa niaba ya Mkurugenzi na watendaji kwanza tunashukuru kwa usimamizi wako mzuri na kutuongoza mpaka kufikia kuinua kiwango cha mapato na kufanikiwa kupata hati safi kwenye mwaka huu wa fedha ambao umebakiza siku chache kumalizika na maelekezo uliyoyatoa tunakwenda kuyatekeleza’’amesema Bi.Anamary Joseph Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mhe.Dormohamed Issa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa fedha za miradi ya maendeleo jijini Mbeya na kuwa pongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Dkt Juma Homera,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe.Dkt Tulia Ackson na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe.Beno Malisa kwa kulisimamia vyema Jiji la Mbeya katika kutekeleza majukumu yake na kuleta tija kwa jamii.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI 2025/2030

    June 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.