• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

Fedha na Uongozi

KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA

Majukumu ya ujumla:

Kamati hii inawashirikisha wenyeviti wa kamati zote za kudumu na inapaswa kukutana kila mwezi mara moja. Aidha madaraka ya kamati hii ni kama kamati zingine za kudumu na hivyo hairuhusiwi kisheria kufanya kazi/majukumu ya kamati zingine za kudumu, kwa ujumla majukumu yake ni pamoja na kusimamia na kudhibiti ukusanywaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri kwa kupitia vikao vyake.

Majukumu maalumu ya kamati

  • Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato
  • Kuwasilisha mapendekezo ya bajetina mpango wa maendeleo kwenye Halmashauri ili kuidhinishwa na Halmashauri.
  • Kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za Halmashauri , ukusanyajimwa mapato, kufuta madeni na kuomba vibali maalum kwa matumizi yanayohitaji kibali kwa Waziri mwenye dhamana na serikali za mitaa
  • Kufikiria na pale inapowezekana kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu sharia ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri
  • Kupokea na kuzingatia mapendekezo ya kubadili matumizi ya mafungu ya fedha ( re- allocation ) yaliyopo katika makisio yaliyoidhinishwa na kuyapeleka kwa Halmashauri
  • Kuratibu mapendekezo kutoka kwenye kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida na miradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri
  • Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa sheria ya fedha za serikali za mitaa, sura ya 290
  • Kupokea na kujadili taarifa za wakaguzi wa fedha  na mali ya Halmashauri na kupendekeza  hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya mkaguzi kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa sura ya 290
  • Kusimamia na kudhibiti matumizi ya fedha za Halmashauri kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na waziri na taratibu nyingine zitakazowekwa na Halmashauri
  • Kupitia marekebisho yote yaliyopendekezwa hususani kuhusu taratibu za fedha, ikiwa ni pamoja na mapitio ya mara kwa mara yanayohusu thamani ya fedha ambapo kanuni mbalimbali za matumizi ya mali na vifaa hutumika
  • Kufikiria na kupendekeza mabadiliko ya viwango vya kodi,ada na ushuru mbalimbali vinavyotolewa na Halmashauri.
  • Kufikiria mapendekezo ya bajeti na mipango ya maendeleo  ya kila kamati ya kudumu na kuiwasilisha kwenye Halmashauri ili ipate idhini
  • Kushughulikia tofauti ya mapato na matumizi katika bajeti yote na kupendekeza hatua stahiki ya kuchukua  kuondoa mapungufu katika mapato au ziada ya matumizi
  •  Kufikiria mapendekezo  yote yanayohusu matumizi makubwa  ya fedha kabla hayajawasilishwa  kwenye Halmashauri ili kupata idhini
  • Kupokea mahesabu ya mwaka ya Halmashauri na kuhakikisha taarifa ya mahesabu ya mwaka inawasilishwa kwa wakati kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
  • Kupitia na kuidhinisha mpango wa manunuzi  wa Halmashauri kwa kuzingatia mpango wa bajeti uliopitishwa na Halmashauri
  • Kupitia taarifa ya kila robo mwaka  kuhusu manunuzi yaliyowasilishwa na Afisa masuuuli
  • Kusimamia utekelezaji wa Mikataba ya Halmashauri kwa kukagua miradi inayotekelezwa na vifaa vilivyopokelewa
  • Kumwelekeza Mkurugenzi kufanya manunuzi au ukaguzi wa huduma au vifaa vilivyonunuliwa ili kupata thamani halisi itafanyika hivyo iwapo itadhihirika kwamba maelezo yaliyotolewa kuhusu manunuzi ya vifaa hayaridhishi
  • Kuidhinisha majina ya wajumbe wa bodi ya zabuni na wa Bodi zingine kwa mujibu wa sheria husika
  • Kushughulikia orodha ya wadaiwa wote itakayowasilishwa kwenye kamati na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukua
  • Kupendekeza njia na taratibu za kuondosha vifaa chakavu uondoshaji wa vifaa unaweza kufanyika kwa njia ya kuuza au kuviharibu
  • Kujadili na kupitia taarifa za fedha za kila mwezi na kila robo mwaka
  •  Kupendekeza kwa Halmashauri kuhusu hatua za kuchukua kuhusu kufuta madeni  ya Halmashauri
  • Kushughulikia sera kuhusu kukopa na uwekezji
  • Kubuni na kupendekeza wa mpango wa kuanzisha na kuendeleza uhusiano na Halmashauri nyingine
  • Kurekebisha na kusimamia makusanyo na matumizi ya mapato ya Vijiji na miji midogo kwa mujibu wa sheria
  • Kuteua wakaguzi wa fedha/mali za serikali za vijiji kwa mujibu wa sheria, sura 290
  • Kujadili na kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa kuhusu mambo yote yanayohusu  masuala ya ajira na kinidhamu ya wafanyakzi na watumishi
  • Kujadili na kutoa mapendekezo kuhusu masuala yanayohusu nyumba za Halmashauri
  • Kujadili na kutoa uamuzi kuhusu watumishi wanaokwenda masomoni
  • Kujadili na kupendekeza masuala yote yanayohusu maslahi ya jumla ya watumishi ikiwa ni pamoja na mikopo, nyumba,usafiri, matibabu,rambirambi na motisha nyinginezo
  • Kupitisha mapendekezo ya kuthibitisha watumishi kazini baada ya kumaliza kipindi cha majaribio kulingana na miundo husika ya utumishi.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.