• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI 2025/2030

Imewekwa Tarehe: June 11th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Malisa amezindua mpango mkakati wa Dira ya miaka mitano ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya na kumkabidhi rasmi Meya Jiji la Mbeya Dour Mohamed  Issa

Makabidhiano hayo yamefanyika  leo Jumatano Juni 11,2025 , katika ukumbi wa mikutano wa  mkapa jijini hapa , ikiwa ni uzinduzi wa mpango mkakati wa dira ya miaka mitano ya 2025/26 mpaka 2029/2039 kwa halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Dira hiyo imebeba vipaumbele  29 ikiwepo masuala ya elimu ,afya  maboresho ya  teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) ujenzi wa bandari ya nchi kavu ,sekta ya afya na elimu  na mengineyo mengi.

Malisa amepongeza  wadau walio fanikisha Halmashauri ya Jiji kutekeleza  mkakati ,huku akitaka kuweka kipaumbele katika uboreshwaji miundombunu ya masoko ili wafanya biashara waweze kufanya kazi masaa 24.

Hata hivyo Malisa amesema mkakati huo uende sambamba na kubadili mwonekano wa jiji la Mbeya katika suala zima la usafi

Katika hatua nyingine Malisa amesema katika ujenzi wa kituo cha watoto mazingira magumu waweke kipaumbele cha kuwajengea uwezo .

"Wajengewe uwezo ili wasirejee mitaani lengo ni kuona wanadhibitiwa na kupata ujuzi kwa kuzingatia Mkoa wa Mbeya kuwa katikati ya mikoa saba nchini. ,"amesema.

Kwa upande wake Mstahiki Meya Jiji la Mbeya,Dour Mohammed Issa amesema mpango mkakati huo unakwenda kuboresha Jiji la Mbeya

"Madiwani tumeshiriki kikamilifu katika kufikia mpango mkakati huo wa dira ya miaka mitano yani 2029/2039 ,lakini nishukuru wadau walichangia hususani katika suala la lishe bora mashuleni,"amesema

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI 2025/2030

    June 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.