Idara hii inashughulika na masuala ya huduma za afya ya kinga na tiba ya maradhi mbalimbali
NA |
HUDUMA ZINAZOTOLEWA |
VIWANGO VYA MUDA |
Wagonjwa wa nje
|
||
|
Kutoa huduma ya dharura
|
Ndani ya dakika 15 toka dharura inapotokea
|
|
Wagonjwa wa kawaida kuonwa na daktari
|
Ndani ya saa 1 tokea kufika kwa mgonjwa
|
|
Ushauri nasaha na upimaji wa hiari
|
Ndani ya masaa mawili tokea kufika kwa mgonjwa
|
|
Huduma za kawaida za maabara (upimaji wa damu, widal, choo, mkojo, wingi wa damu)
|
Ndani ya saa 24
|
|
Utoaji wa dawa
|
Ndani ya dakika 15
|
|
Huduma ya Afya ya uzazi na mtoto (PMTCT na ANC – Councelling).
|
Ndani ya masaa mawili toka kufika kwa mgonjwa
|
|
|
Ndani ya dakika 45
|
|
|
Ndani ya dakika 20
|
|
|
Ndani ya siku 2
|
Wagonjwa wa ndani waliolazwa
|
||
|
Kutoa huduma ya dharura baada ya saa za kazi
|
Ndani ya saa moja tokea dharura kugundulika
|
|
Kupokelewa na kupata huduma na kuonwa na daktari
|
Ndani ya saa moja tokea kupokelewa
|
|
Daktari kuona wagonjwa Clinic ya mpango wa Bima ya Afya
|
Ndani ya saa moja mgonjwa awe ameonwa na Daktari
|
|
Kutoa taarifa ya uchunguzi wa maiti kwa Polisi
|
Ndani ya ya siku 14 tangu tarehe ya kufanya uchunguzi
|
|
Kutoa taarifa ya afya ya wafungwa kwa Afisa Magereza
|
Ndani ya siku mbili tokea kuombwa
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.