• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

TUME HURU YA UCHAGUZI IMEWATAKA WASAIDIZI WA UCHAGUZI KWENYE MAJIMBO MBEYA MJINI NA UYOLE KUZINGATIA MAFUNZO WALIYOPEWA

Imewekwa Tarehe: August 5th, 2025

Tume Huru ya uchaguzi imewataka wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwenye majimbo ya Mbeya Mjini na Uyole kuzingatia mafunzo wanayopewa ili kuisadia tume hiyo kutimiza malengo yake ya kutenda haki katika uchaguzi mkuu ujao na kuleta maana sahihi ya uchaguzi uhuru na haki.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,Mhe.Jaji Rufani Jacobs Mwambegele katika mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi yanayoendelea kwenye ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ambapo amewataka wasimamizi hao kutekeleza majukumu yao kwa weledi.Mwenyekiti huyo wa tume huru ya taifa ya Uchaguzi ameongeza kuwa lengo la tume huru kuwapatia mafunzo hayo ni kuhakikisha uchaguzi una kuwa wa uhuru na haki.

‘‘Tume inawaamini mna uwezo wa kutekeleza jukumu hili kwa weledi mnapokwenda kutekekeleza jukumu hili msiivunje imani ya tume juu yenu’’amesema Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Jaji Rufani Jacobs Mwambegele.

Aidha Jaji Mwambegele amewasisistiza wasimamizi hao wa Jimbo la Mbeya Mjini na Jimbo la Uyole ambayo yote yako kwenye Halmashauri ya Jiji la Mbeya muda wote wanapotekeleza majukumu yao wafuate sheria,kanuni,taratibu na maelekezo  watakayopewa na tume na waspokee maelekezo utoka kwingine isipokuwa kwa maelekezo kutoka Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi.


Kwa upande wake msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini na Uyole Bi.Annamary Joseph amemuahidi Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya  Uchaguzi Mhe.Jaji Rufani Jacobs Mwambegele kuwa watakwenda kuzingatia mafunzo na maelekezo yote katika kutekekeleza majukumu yao.


Uchaguzi Mkuu unaohusisha uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani unatarajia kufanyika tarehe 29 mwezi Oktoba 2025 nchini kote ilikuchagua viongozi watakaoongoza maeneo hayo watakao dumu madarakani kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2025 mpaka mwaka 2030.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI June 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • TUME HURU YA UCHAGUZI IMEWATAKA WASAIDIZI WA UCHAGUZI KWENYE MAJIMBO MBEYA MJINI NA UYOLE KUZINGATIA MAFUNZO WALIYOPEWA

    August 05, 2025
  • RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI 2025/2030

    June 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.