kitengo hiki kinajihusisha na utoaji wa huduma za ukaguzi wa matumizi ya fedha za Umma katika Halmashauri ya Jiji.
NA |
HUDUMA ZITOLEWAZO |
VIWANGO VYA MUDA
|
1.
|
Kuandaa na kutekeleza mpango mkakati wa ukaguzi
|
|
2.
|
Kutoa ushauri kwa maafisa Masuhuli, wakuu wa Seksheni na vitengo juu ya matumizi ya fedha
|
|
3.
|
Kukagua thamani ya miradi ya maendeleo
|
|
4.
|
Kufuatilia hoja na mkaguzi wa nje
|
|
5.
|
Kutoa taarifa ya ukaguzi wa ndani
|
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.