Idara inahusika na kupima viwanja vipya, kutoa hati miliki, kakagua viwanja vilivyopimwa, kuanda michoro, kupima mipaka ya vijiji mbalimbali.
NA |
HUDUMA ZINAZOHUSIKA |
VIWANGO VYA MUDA |
Kitengo ya Ardhi
|
||
|
Kuandaa mchoro, ramani ya mipango miji na vijiji mji ndani ya Halmashauri ya Wilaya
|
Ndani ya miezi 6
|
|
Kupima eneo lililoandaliwa mchoro / ramani ya mipango miji kwenye makao makuu ya halmashauri ya Jiji
|
Ndani ya siku 30
|
|
Kupima eneo ambalo halijaandaliwa mchoro / ramani ya mipango miji kwenye makao makuu ya halmashauri ya Jiji
|
Ndani ya miezi 6
|
|
Kuthamini mali za kudumu, majengo, mashamba na mitambo
|
Ndani ya Siku 60
|
|
Kusajili rehani (mortgage)
|
Ndani ya miezi 4
|
|
Kuandaa hati miliki kwa viwanja vilivyo mjini
|
Ndani ya Miezi 6
|
|
Kuonyeshwa mipaka kwa mara ya pili, kwa mipaka iliyosahaulika.
|
Ndani ya siku 7
|
|
Kupitisha vibali vya ujenzi na biashara
|
Ndani ya miezi 4
|
|
Kuandaa leseni za makazi kwenye miji na vijiji mji.
|
Ndani ya mwezi 1
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.