Idara hii inashughulika na kuratibu, kusimamia na kutathimini utekelezaji wa sera ya elimu na mafunzo ya ufundi ya mwaka 1995 kwa lengo la kuinua kiwango cha ubora wa elimu kwa ngazi ya sekondari.
NA |
HUDUMA ITOLEWAYO |
VIWANGO VYA MUDA |
|
Kushughulikia barua za ruhusa za Walimu kwenda nje na ndani ya Jiji na kwenda masomoni.
|
Ndani ya kakika 20 kwa kila mteja
|
|
Uhamisho wa wanafunzi nje na ndani ya Mkoa.
|
Ndani ya dakika 15 kwa kila mteja
|
|
Kushughulikia maombi ya Walimu, madai ya likizo, uhamisho, matibabu, malimbikizo ya mishahara na mishahara, bima ya afya.
|
Ndani ya dakika 20 kwa kila mtendaji
|
|
Kuandaa fedha za ruzuku, PEDP / SEDP na kuzipeleka mashuleni.
|
Ndani ya Siku 7 tangu kuingia kwa fedha husika
|
|
Kuidhinisha fedha kwa ajili ya malipo kutoka mashuleni.
|
Ndani ya dakika 10 kwa kila mteja
|
|
Kuidhinisha fomu za mikopo kwa Walimu.
|
Ndani ya dakika 5 kwa kila mteja
|
|
Kuandaa na kutoa taarifa ya maendeleo ya Elimu kwa mwezi, robo na nusu mwaka na mwaka kwa TAMISEMI, Wizara ya Elimu na Halmashauri.
|
Ndani ya Siku 5 za wiki
|
|
Kutoa maelekezo na miongozo mbalimbali ihusuyo utekelezaji wa mtaala wa elimu kwa Walimu.
|
Ndani ya Siku 1
|
|
Kupitisha madokezo mbalimbali kwa ajili ya Maafisa na Ofisi mbalimbali za Halmashauri ya Jiji.
|
Ndani ya dakika 10 kwa kila mteja
|
|
Kuandaa na kutoa taarifa za mitihani na matokeo ya wanafunzi kwa wadau mbalimbali
|
Ndani ya wiki tangu matokeo kutoka
|
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.