Halmashauri ya Jiji la Mbeya inayofuraha kuwataarifu Wananchi wote kua Inakodisha Kumbi mbalimbali inazozimiliki
1. Ukumbi Mkubwa wa Mkapa wenye uwezo wa kuchukua watu 1000 unakodishwa kwa gharama za Shilingi 1,000,000/= kwa siku.
2. Ukumbi wa Dr. Shein wenye uwezo wa kuchukua idadi ya watu 150 unakodishwa kwa gharama za Shilingi 400,000/= kwa siku.
3. Ukumbi wa Nelson Mandela wenye uwezo wa kuchukua idadi ya watu 200 unakodishwa kwa gharama za Shilingi 300,000/= kwa siku
Kumbi hizi zote zinapatikana katika Kata ya Maendeleo Mtaa wa Soko Matola:
Kwa mawasiliano simu namba 0713274938 Meneja wa Ukumbi.......
Au +255252502372
+255252502563
Email: cd@mbeyacc.go.tz
Nyote Mnakaribishwa
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.