Halmashauri ya Jiji la Mbeya imefanya punguzo kwa Kumbi zake zilizopo eneo la Soko Matola Jijini Mbeya.
MATUMIZI YA SAA MOJA HADI MBILI
1. Ukumbi Mkubwa - Tsh 900,000/=
2. Ukumbi wa Dr. Shein - Tsh 300,000/=
3. Ukumbi wa Mandela - Tsh 200,000/=
MATUMIZI YA MASAA MATATU
1. Ukumbi Mkubwa - Tsh 950,000/=
2. Ukumbi wa Dr. Shein - Tsh 350,000/=
3. Ukumbi wa Mandela - Tsh 250,000/=
MATUMIZI YA MASAA MANNE NA KUENDELEA HADI SIKU NZIMA
1. Ukumbi Mkubwa - Tsh 1,000,000/=
2. Ukumbi wa Dr. Shein - Tsh 400,000/=
3. Ukumbi wa Mandela - Tsh 300,000/=
Mbalizi Road near TTCL Offices
Anuani ya Posta: 149 Mbeya
Simu: +25525252502372
Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563
Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.