• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

VIRUSI DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI VYAPATA UFUMBUZI

23 April 2018

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani “WHO” na wadau wa Afya imeanzisha kinga ya chanjo dhidi ya Saratani ya mlango wa kizazi “HPV” – Vaccine (Human Papiloma Virus) nchini Tanzania.

Chanjo hii itatolewa kwa watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 9 hadi 14 ambao kimsingi ndio walengwa wa chanjo hii.Watoto hawa kulingana na umri wao wanakua hawapo kwenye hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo kutokana na uwezekano mkubwa wakutojihusisha na matendo ya kujamiana.

Hivyo kulingana na tafiti wanawake waliojiingiza kwenye vitendo vya kujamiaana hususani katika umri mdogo wanakua katika hatari kubwa ya kupata saratani ya mlango wa kizazi kutokana na vijidudu vinavyozalishwa katika sehemu za uke wa mwanamke na kupelekea hata ukiwapatia chanjo hii isiwasaidie kwani vijidudu vinakua tayari vimeshazalishwa kwenye mlango wa kizazi cha mwanamke.

Wanawake hawa wenye umri mdogo wakipatiwa chanjo hii kunauwezekano mkubwa wa kuwakinga wasipate maambukizi ya ugonjwa huo wa saratani ya mlango wa kizazi kwani kinga hiyo itawasaidia wasichana hawa kutoshambuliwa na virusi vya ugonjwa huu.

Kwasasa chanjo hii itatolewa kwa wasichana wa umri wa miaka 14 na wengine watapatiwa hapo baadae,zoezi hili ni endelevu na halina gharama yoyote.Wananchi wote wa Jiji la Mbeya mtapata chanjo hii kuanzia tarehe 23/04/2018 na itaendelea kutolewa katika vituo vyote vya tiba, lakini pia chanjo hii itatolewa kwa njia ya huduma ya Mkoba kwa shule 133 za msingi na sekondari.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.