• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MPANGO WA USIMAMIZI WA MAGARI YA TAKA NA UONDOSHAJI WA MAKONTENA YA TAKA NGAZI YA KATA

20 February 2018

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imejiwekea Mpango wa Usafi wa Mazingira kwa kupanga majukumu yote ya usimamizi na uendeshaji wa Magari ya Taka kufanyika ngazi ya Kata kutokana na ada ya taka inayokusanywa.

Aidha matumizi ya Fedha zinazokusanywa kwenye chanzo cha ada ya taka ni pamoja na ununuzi wa Mafuta ya Magari ya Taka, Matengenezo ya Magari pindi yanapopata hitirafu, kulipa Posho za madereva ikiwa kama motisha kwa madereva hao ili kuleta ufanisi wa kazi katika zoezi zima la usafi wa Mazingira.

Mpango huu umeziweka Kata katika Kanda nne ambazo ni:

  • Kanda A ina Kata saba (7) ambazo ni Igawilo, Iganjo, Iduda, Uyole, Nsalaga, Itezi na Isyesye, katika Kanda hii Mratibu ni Beston Mbegeze Afisa Mtendaji Kata ya Igawilo na Msaidizi wake ni Eliah Mafole Afisa Mtendaji Kata ya Nsalaga. Aidha Kanda hii imepewa Gari yenye namba DFPA 2415 ambalo linahudumu katika maeneo yote ya Kanda.
  • Kanda B ina Kata tano (5) ambazo ni Ilomba, Mwakibete, Ilemi, Iganzo na Iyela, katika Kanda hii Mratibu ni Mathiasi Mwezimpya Afisa Mtendaji Kata ya Ilomba na Msaidizi wake ni Ana Sipalika Afisa Mtendaji Kata ya Iyela. Kanda hii imepewa Gari namba DFPA 2416 kwa kazi ya kuondoa Makontena yenye uchafu kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Kanda.
  • Kanda C ina Kata nane (8) ambazo ni Ruanda, Maanga, Sinde, Forest, Nzovwe, Kalobe, Iyunga na Iwambi Mratibu wa Kanda hii ni Jumapili Mwasenga Afisa Mtendaji Kata ya Ruanda na Msaidizi wake ni Emmanuel Timoth Afisa Mtendaji Kata ya Forest halikadhalika Kanda hii imepatiwa Gari namaba DFPA 2418 Kwaajili ya kuweka mazingira safi ndani ya Kanda.
  • Kanda D ina Kata nane (8) ambazo ni Sisimba, Maendeleo, Majengo, Ghana, Itiji, Mabatini, Isanga na Mbalizi Road, Mratibu wa Kanda hii ni ndugu Furaha Malele Afisa Mtendaji Kata ya Sisimba akisaidiwa na ndugu Simon Mwandelile Afisa Mtendaji Kata ya Maendeleo. Kanda hii pia Gari watakalotumia kwa shughuli ya kuondoa Makontena ya uchafu ni DFPA 2417. 

Majukumu ya Waratibu na Waratibu Wasaidizi  wa Kanda

  • Kuandaa ratiba ya uondoshaji wa Makontena ya taka katika Kanda na
  • kuhakikisha Makontena ya taka katika Mitaa pamoja na yale yaliyopo katika Masoko ya eneo husika yanatolewa kwa wakati mara yanapojaa.
  • Usimamizi wa gari ya kuzolea taka lililopo katika Kanda.
  • Kutoa motisha kwa madereva ili kuongeza ufanisi na kufanya kazi kwa bidii.
  • Kufanya mawasiliano baina ya Waratibu wa Kanda nyingine zinazohitaji gari za ziada kwa kuzidiwa na makontena.

 Ili kurahisisha utekelezaji wa shughuli za usafi, Watendaji wa Kata na Mitaa watatakiwa kufanya yafuatayo: 

  • Kuhakikisha makontena ya taka yanatolewa kwa wakati mara yanapojaa katika mitaa  pamoja na makontena yaliyopo katika masoko ya eneo husika;
  • Udhibiti wa maeneo ya kukusanyia taka (solid waste collection points/skip containers) na kuhakikisha hakuna taka zinazozagaa chini;
  • Kuhamasisha wakazi, Taasisi na wafanyabiashara kulipa ada ya taka kila mwezi. Kila Kata iwe na kitabu cha kumbukumbu (register book) inayoonesha idadi (majina) ya wakazi (kaya), taasisi na wafanyabiashara wanaotakiwa kulipa ada ya taka, mahali walipo, mawasiliano yao. Pia ioneshe waliolipa na wasiolipa kwa mwezi husika na kiasi kilichokusanywa kwa kila mwezi na wasiolipa wafuatiliwe.

Kuendelea na zoezi la uundaji na urasimishaji wa vikundi vya kijamii (usajili) ili kurahisisha kazi za ukusanyaji ada ya taka, faini za uchafuzi na ukusanyaji wa taka kutoka maeneo mbalimbali kupeleka kwenye makontena.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • VIJANA MBEYA WAPIGWA MSASA WASISITIZWA KUZIFUATA FURSA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    May 16, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.