• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MRADI WA KUENDELEZA MIJI YA KIMKAKATI TANZANIA UNAENDELEA JIJI LA MBEYA

13 June 2018

Wananchi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya mnataarifiwa kua mradi mkubwa wa kuendeleza miji ya kimkakati (TSCP) unaendelea katika Jiji la Mbeya ambapo kwa sasa kuna ujenzi mkubwa wa barabara pamoja na mifereji ya maji ya mvua katika maeneo mbalimbali ya Jiji.

Halmashauri ya Jiji la Mbeya tayari imeshaingia kandarasi na Kampuni ya China Railway Seventh Group Co. ltd tarehe 01/06/2018 yenye thamani ya shilingi za kitanzania 12,837,041,629.29 kwaajili ya ujenzi huo wa Barabara, Mifereji, Vibanda vya kupumzikia abiria pamoja na maandalizi ya mpango mkubwa wa mifereji ya maji taka.

Miongoni mwa barabara ambazo zinatengenezwa ni pamoja na Barabara ya MUST inayopitia eneo la Viwandani TBL, PEPSI na COCACOLA yenye urefu wa km 2.76, Barabara ya Sae –Tanesco Kisanji 0.86, Barabara ya Legico mpaka Kanisa la KKT yenye urefu wa km 0.37, Barabara ya Ilomba –Ivumwe mpaka relini yenye urefu wa km1.87 na Barabara ya New Forest yenye urefu wa km 0.81

Pia kutakua na ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua utakaopitia Uwanja wa ndege wa zamani-Barabara ya Mahakama, Sinde mpaka mto wa Isyesye wenye urefu wa km 2.88

Sambamba na hilo kutakua na ujenzi wa Vibanda vya kupumzikia abiria Stendi ya Mabasi ya nanenane.

Kwa mujibu wa Mkataba Mkandarasi anakipindi cha mwezi mmoja tokea aliposaini mkataba kwaajili ya maandalizi ya ujenzi, hivyo wananchi wote mnaombwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi na wahandisi popote pale watakapokua wanatekeleza ujenzi tajwa hapo juu, ujenzi huu ni kwaajili ya maendeleo ya Jiji letu la Mbeya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.