• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

WATAHINIWA 4078 JIJI LA MBEYA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA NA UALIMU KUANZIA TAREHE 07/05/2018 MPAKA 24/05/2018

06 May 2018

Mtihani wa Kidato cha sita na wa kozi ya ualimu unatarajiwa kuanza tarehe 07/05/2018 mpaka tarehe 24/05/2018 kote nchini Tanzania ikijumuisha Tanzania bara na Tanzania visiwani.

Kwa upande wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Maandalizi yake yamekamilika kwa asilimia mia moja huku jumla ya watahiniwa 4078 wanatarajiwa kufanya mtihani huo.

Katika watahiniwa hawa watahiniwa 2561 ni wale walioshuleni (School candidate), 1276 watahiniwa wa kujitegemea (Private candidate) na 241 ni watahiniwa wa mitihani ya ualimu.

Akizungumzia mtihani huo Kaimu Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya Bw. Abu John amesema Halmashauri ya Jiji la Mbeya ina jumla ya vituo 23 vya kufanyia mtihani huo. Huku kukiwa na jumla ya wasimamizi 161 wa mtihani huo ambapo wasimamizi wakuu ni 28 na wasimamizi wasaidizi wakiwa 103 na wasimamizi waandaaji wa mtihani ya vitendo ni 30.

Vituo vitakavyohusika na mtihani huo kwa upande wa watahiniwa walio shuleni ni pamoja na Iyunga jumla ya watahiniwa 252, Loleza 433, Mbeya 291, Sangu 277, Meta 202, Igawilo 112, Ivumwe  222, Itende 79, Nazarene 4, S/Highland 55, Aggrey S.S 80, M/Mbeya 24, Aiport 32, Uwata Boys 200, Vanesa 8, H/Uwata 140, Samora 130, Jifunzeni 20.

Watahiniwa wa kujitegemea vituo vyake ni Iyunga watahiniwa 150, Loleza 196, Mbeya 294, Sangu 122, Meta 106, Igawilo 27, Ivumwe 163, Itende 60, S/Highland 74, Aggrey 28, M/Mbeya 47 na Vanesa watahiniwa 9.

Kwa watahiniwa wa mtihani wa Astashahada ualimu vituo ni Aggrey watahiniwa 71, Teku 51, Luth 44, Moravian 51 na SAUT 14. Watahiniwa wa ngazi ya Stashahada Kituo ni  Aggrey watahiniwa 10.

Bw. Abuu aliongeza kwa kusema kua hali ya ulinzi na usalama wa mtihani huo itakua shwari kwani kila kituo cha kufanyia mtihani huo kitakua na askari wawili wa usimamizi, mwisho amewatakia wanafunzi wote mtihani mwema.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC.DKT.HOMERA AIPONGEZA JIJI LA MBEYA KWA ONGEZEKO LA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI NDANI YA MIAKA MITANO

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI 2025/2030

    June 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI JIJI LA MBEYA LAJIVUNIA MIAKA 5 YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    June 06, 2025
  • MAONESHO YA MBEYA CITY EXPO FURSA KWA WAFANYABIASHARA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

    May 28, 2025
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.