• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

02 May 2018

TANGAZO LA KAZI (AJIRA YA MKATABA)

Shirika la Kimarekani (WRP) ambalo lilianza kufanya kazi katika Mkoa wa Mbeya ndani ya Medical Reserch programme (MMRP) mwaka 1999 katika eneo la tafiti. Mwaka 2004 shirika hili lilianza kutoa misaada ya huduma ya dawa za kupunguza makali ya VVU/UKIMWI likiwa na lengo la kujengea uwezo Mkoa wa Mbeya.

Ili kutekeleza malengo yake kwa ufasaha Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya anatangaza nafasi za kazi kwa kada zifuatazo:

A: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II (DATA CLERKS) NAFASI 3

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha utunzaji wa kumbukumbu.
  • Awe na cheti cha Kompyuta kutoka katika chuo kinachotambulika.
  • Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha
  • Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 45
  • Awe ni mkazi wa Mbeya Jiji.

KAZI NA MAJUKUMU

  • Atafanya Kazi kama “Data Clerks” wa mradi wa WRP
  • Kubuni na kuandaa utaratibu wa kupanga kumbukumbu za afya
  • Kuchambua na kuunganisha takwimu za wagonjwa
  • Kuandaa taarifa (ripoti) zinazohusiana na wagonjwa
  • Kuhifadhi taarifa za mgonjwa/wagonjwa
  • Kutunza kumbukumbu za kila siku
  • Kugundua na kusahihisha makosa yanayojitokea katika taarifa

 

 

 

 

B. DEREVA WA PIKIPIKI NAFASI 2

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe amepitia mafunzo ya udereva
  • Awe na leseni daraja A, A1
  • Awe na cheti cha udereva kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali
  • Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 45
  • Awe tayari kufanya ndani ya Halmashauri ya Mbeya Jiji.

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kusafirisha sampuli kutoka katika vituo vinavyotoa huduma kwa wagonjwa waishio na VVU
  • Kufanya kazi nyingine za usafirishaji wa taarifa za wagonjwa waishio na VVu

Waombaji waambatanishe nakala ya vyeti vyao vya taaluma na kuandika namba zao za simu kwenye barua  ya maombi. Waombaji watakaoitwa kwenye usaili ndio watakaojulishwa tu.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11/05/2018 sa 9.30 alasiri

Maombi yatumwe kwa njia ya posta na Mkono kwa:-

MKURUGENZI WA JIJI

S.L.P 149,

MBEYA

 

Limetolewa na;-

MKURUGENZI WA JIJI

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

S.L.P 149,

MBEYA.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.