• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

MTIHANI WA KUHITIMU DARASA LA SABA

Friday 9th, May 2025
@Shule zote za Msingi

Mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2017 umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 06/09/2017 siku ya jumatano hadi tarehe 07/09/2017 siku ya Alhamisi.

Halmasghauri ya Jiji la Mbeya ina shule za msingi 84 zenye watahiniwa wa Mtihani huu, ambapo jumla ya watahiniwa wote ni 9781, kati yao wavulana ni 4629 na wasichana ni 5152, watahiniwa wa kawaida wavulana 4286 na wasichana 4835 na watahiniwa wa mfumo wa kiingereza wavulana 329 na wasichana 310, watahiniwa wenye uoni hafifu wavulana 14 na wasichana 7, Mikondo iliyopo ni 427 ambapo shule 84 zimegawanywa kwenye misafara 20 ili kurahisisha kazi ya kusambaza na kukusanya mitihani.

Shule za msingi 84 zenye watahiniwa wa mtihani huu zimetembelewa na wajumbe wa kamati ya uendeshaji wa mtihani katika ngazi ya Halmashauri kuanzia Tarehe 14/08/2017 hadi Tarehe 17/08/2017, mambo yafuatayo yalikaguliwa:

  • Uwepo wa kasiki salama na madhubuti itakayotumika kuhifadhia mitihani.
  • Uwepo wa penseli za HB za kutosheleza zitakazotumiwa na watahiniwa katika mtihani.
  • Uwepo wa vifutio vya kutosheleza.
  • Uwepo wa madawati ya kukizi idadi ya watahiniwa katika shule husika.
  • Maandalizi ya chai na chakula cha mchana kwa watahiniwa na wasimamizi.
  • Uwepo wa saa Za ukutani zitakazotosheleza idadi ya mikondo iliyopo.
  • Kufunikwa vielelezo vyote vilivyochorwa ukutani ndani na nje ya madarasa.
  • Uwepo wa Mkasi kwa kila Mkondo.

Shule zote zilizokaguliwa zimeendelea kuandaa vifaa hivyo kwa kuzingatia maagizo ya kamati , aidha Semina ya maelekezo ya  usimamizi wa Mtihani kwa wasimamizi wapatao 511 na wakuu wa msafara 25 imefanyika kwa siku mbili, siku ya ijumaa tarehe 25/08/2017 na siku ya Jumamosi tarehe 26/08/2017 kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari Mbeya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.