• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

BILIONI 21.5 KUJENGA BARABARA ZA MITAA KIWANGO CHA LAMI JIJINI MBEYA

Imewekwa Tarehe: October 26th, 2023

Halmashauri ya Jiji la Mbeya inatarajia kutumia zaidi ya Sh 21 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara za ndani zenye urefu wa kilometa 12.3 .

Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Dourmohamed Issa amesema leo Alhamis Oktoba 26,2023 wakati wa mkutano wa kutoa taarifa ya kaunza utekelezaji wa Mradi Uboreshaji Miundimbinu ya Miji na Kuongeza Ushindani kwenye Uwekezaji kupitia mradi wa( TACTIC)

Issa ameishukuru Serikali ya awamu ya sita na kwamba Jiji la Mbeya kinakwenda kuwa la kisasa sambamba na mradi wa barabara njia nne ambao utekelezaji wake umeanza

“Nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya ,Dk Tulia Ackson kwa ufuatiliaji wake na kufukia hatua ya Leo hii kuanza utekelezaji ”amesema.

Issa amesema uwepo wa Mradi hiyo itapunguza msongamano wa magari katika barabara kuu eneo la kabwe na hivyo kuchangia kuchanga kwa fursa za kiuchumi kwa jamii .

Mradi huo ambao utasimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijiini na Mijini(Tarura)na kutekelezwa na kampuni ya Chonging International Construction Corparation ,ambapo awali Septemba 23 mwaka huu Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya walikwenda kusaini mkataba jijini Dar es Salaam.

Akifungua Mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ,Beno Malisa amesema Mkoa wa Mbeya unakwenda kupiga katua za haraka huku akiwataka Madiwani kueleza wananchi miradi inayotekelezwa na Serikali.

“Madiwani isemeeni Serikali haya inayoyafanya katika kuboresha miradi ya Maendeleo kwani Jiji la Mbeya linakwenda kuwa la kisasa ,na hadhi ya kipekee kwa kujenga barabara njia nne na hizo za ndani zenye urefu wa kilometa 12.3.

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.