• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbeya City Council
Mbeya City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Health,Social Welfare and Nutrition services Division
      • Agriculture,Livestock and Fisheries Division
      • Human Resources Management and Administration Division
      • Pre Primary and Primary Education Division
      • Secondary Education Divison
      • Infrastructure,Rular and Urban Development Division
      • Planning and Coordination Division
      • Industry, Trade and Investments Division
      • Community Development Division
    • Vitengo
      • Internal Audit Unit
      • Procurement Management Unit
      • ICT Unit
      • Legal Services Unit
      • Finance and Accounts Unit
      • Government Communication Unit
      • Natural resources and Environment Conservation
      • Sports, Culture and Arts Unit
      • Ward Executive Office
      • Village/Mtaa Executive Office
      • Waste Management and Sanitation
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
    • Orodha ya Wah Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

DC MALISA ATOA ONYO KALI KWA WAKULIMA NA MAWAKALA WANAOHUJUMU

Imewekwa Tarehe: January 18th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mkoani Mbeya Mh.Beno Malisa ametoa onyo kali kwa wakulima,mawakala wa mbolea na wanaoshiriki kuhujumu mpango wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa lengo na kumkomboa mkulima.

Akizungumza kwenye kikao cha pembejeo Wilayani Mbeya kilichowashirikisha mawakala wa mbolea ya ruzuku ,maafisa kilimo na wakaguzi wa mbolea Mh.Malisa amesema wakulima wamekuwa chanzo kikubwa cha kuwasaidia mawakala kufanya udanganyifu kwenye zoezi hili la mbolea ya Ruzuku.

Mkuu huyo wa Wilaya ameongeza kuwa serikali itawachukulia hatua kali wakulima wanaokubali taarifa zao zitumike katika kufanya udanganyifu kwa kuwanufaisha baadhi ya mawakala wa mbolea ya ruzuku wasio waaminifu kwani kufanya hivyo ni sawa na kuhujumu zoezi la mbolea hiyo lenye malengo chanya kwa wakulima nchini.

Wilaya ya Mbeya wakulima 135,635 wamejitokeza kujisajili na kuhuwisha taarifa zao katika mfumo wa mbolea ya ruzuku ambapo Mbeya Vijijini wakulima wakulima 99,312 kati yao wanawake 48,657 na Wanaume 50,604 kwa upande wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya jumla ya wakulima 36,503 Wanawake wakiwa 21,088 na Wanaume 15,404.

Mmoja wa bwana shamba kutoka kampuni ya HAKIKA ambao ni wasambazaji na wauzaji wa Mbolea ya ruzuku ,Bwa.Hamisi Kilanga ameiomba Serikali kutoa elimu ya kutosha kwenye mfumo wa sasa umaotumika kwasababu mara nyingi umejitokeza usumbufu pale ujumbe wa mfumo unaposhindwa kurudisha ujumbe ili mteja aweze kupewa mbolea.

Kwa upande mwingine Bw.Kilanga ameiomba Serikali kuweka bei kamili ya mbolea kwa vile senti zilizopo kwenye bei za sasa zinawasumbua kwenye chenji pale ambapo mkulima anadai cheni yake hivyo kama elfu 74 au 75 iwe bila senti.

Aidha Mh.Malisa amewataka wakulima kutumia vizuri fursa hii ya kutumia mbolea ya ruzuku inayotolewa na serikali ya awamu ya sita chini ya Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yenye malengo ya kuongezaji tija katika kilimo sambamba na kumuongezea kipato mkulima.

Kikao kijacho cha pembejeo wilayani Mbeya kinataraji kukutana tena mnamo  februari 18 mwaka 2024.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AJIRA YA MKATABA KWA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B) April 23, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A) April 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MOTISHA ZATOLEWA KWA WALIMU WAKUU KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 24, 2025
  • WAANDIKISHAJI WA UCHAGUZI WAAPISHWA JIJINI MBEYA

    October 08, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI

    July 31, 2024
  • Tazama Zote

Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa

"MSITUBIPU KATIKA UCHAGUZI " RC MBEYA
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mbeya City Football Club
  • Google
  • Halmashauri ya Jiji la Mbeya Ukurasa Maalumu

Tovuti Mashughuli

  • Poralg Website
  • Ikulu Website
  • Public Service Website
  • Tanzania Website
  • eGA
  • Secretariati ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    Mbalizi Road near TTCL Offices

    Anuani ya Posta: 149 Mbeya

    Simu: +25525252502372

    Simu ya Kiganjani: +255 25 2502563

    Barua Pepe: cd@mbeyacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbeya City Council . All rights reserved.